Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Alikua analalamika nn? Au alimuomba mtaji wa biashara Mondi akakataa?
mpendwa katika Bwana

Hakusema ana shida gani
ila alisema anahitaji msaada kutoka kwa mondi. Nadhani ni msaada wa pesa. Ila mara zote Mondi anadai yupo busy.
 
Huy leo ndo nimemsikia anaimba nyimbo gani mkuu au anaimba nyimbo za asili[emoji23]
Huyu jamaa zamani alikuwa anaimba bongo flavor alitoaga ngoma moja hivi ilikuwa inaitwa nimepata demu ilisumbuaga sana kwenye vituo mbalimbali vya radio,naskia ckuizi aliamua kubadili gia aridhini,ckuizi ana imba Gospel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…