Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fredrick bundara umenikumbusha ngoma yake iliyokuwa inaitea chizi wa mapenzi ft filbet kabagoCyril kamikaze, uniq dadaz bablee, yaki, fredrik bundala
Skywizzo [emoji23] [emoji23]Cyril kamikaze, uniq dadaz bablee, yaki, fredrik bundala
Atakua mwingine mkuu[emoji23] [emoji23]Bob Junior huyu huyu aliyekuwa analalamika Diamond hataki kumsaidia au kuna bob junior mwingne ?
mpendwa katika BwanaAtakua mwingine mkuu[emoji23] [emoji23]
Alikua analalamika nn? Au alimuomba mtaji wa biashara Mondi akakataa?mpendwa katika Bwana
Nlimuona kwa macho kwenye kipndi cha shilawadu, akilalamika.
mpendwa katika BwanaAlikua analalamika nn? Au alimuomba mtaji wa biashara Mondi akakataa?
Huyu jamaa zamani alikuwa anaimba bongo flavor alitoaga ngoma moja hivi ilikuwa inaitwa nimepata demu ilisumbuaga sana kwenye vituo mbalimbali vya radio,naskia ckuizi aliamua kubadili gia aridhini,ckuizi ana imba Gospel.Huy leo ndo nimemsikia anaimba nyimbo gani mkuu au anaimba nyimbo za asili[emoji23]
Jamaa ana wimbo gani kiongozi...?Prodyuza Nisher...Baba yake ni Nabii anapesa hatari
Baba yake anaitwa GeoDavieProdyuza Nisher...Baba yake ni Nabii anapesa hatari
Baba yake Nimrod Mkono,mtu mwenye uwezo mkubwa kiuchumi na kisiasaSasa jamaa ana ukisure gani kwa mfano?
Nimesema hapo ni video prodyuzaJamaa ana wimbo gani kiongozi...?