Tukumbushaneni hadithi zilizokuwepo kwenye vitabu vya kiswahili shule ya msingi zamani.

Tukumbushaneni hadithi zilizokuwepo kwenye vitabu vya kiswahili shule ya msingi zamani.

Nfumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
610
Reaction score
698
je wewe unakumbuka hadithi gani ya zamani nzuri na ya kuvutia uliyokuwa unaipeanda sana kipindi upo shule ya msingi miaka ileeee ya zamani

tukianza Mimi nilikuwa nazipenda hadithi mbili moja SIKUJUA na nyingine ya MAJARIWA ambazo zilikuwa kwenye kitabu cha darasa la sita na mwisho wa siku hadithi hizi zilipelekea hadi nikaiba kitabu cha darasa la sita
 
Aiseee UTANIKUMBUKA MWINDAJI... KICHUCHU NA SIMBA....LAH LAH LAH LALAAAAAAAAH..... MUA ULIOZAMISHA MELI ETC
 
Huyu ni Juma. Juma ana Dada. Dada Juma ni Roza......Juma na Damasi wanaendesha magari ngruu!! kelele ni kubwa.
 
Pamela na kipini
Muwa uliozamsha meli
Siku ya gulio
Mfalme ana masikio kama punda
Juma na uled
Jogoo wa ajabu
Sikuelewi (iji ng'ombe jose nijaweni??)
Hawafu mwenye nguvu
Chopeko na mnofu
Mzee tola
La-la-la
Nk
 
Gulio la katerero
Tuchunguze
Kibanga ampiga mkoloni
Sizitaki mbichi hizi
Mkwawa shujaa
Safari ya......
Jogoo wa ajabu
La la laaa
 
Kabanga ampiga mkoloni

Allan Quaterman

Mashimo ya mfalme Suleiman
 
Mfalme ana masikio kama ya punda.
Chilambo
 
Pamela na kipini
Muwa uliozamsha meli
Siku ya gulio
Mfalme ana masikio kama punda
Juma na uled
Jogoo wa ajabu
Sikuelewi (iji ng'ombe jose nijaweni??)
Hawafu mwenye nguvu
Chopeko na mnofu
Mzee tola
La-la-la
Nk
Mfalme ana masikio kama punda was my favourite.
 
Pamela na kipini
Muwa uliozamsha meli
Siku ya gulio
Mfalme ana masikio kama punda
Juma na uled
Jogoo wa ajabu
Sikuelewi (iji ng'ombe jose nijaweni??)
Hawafu mwenye nguvu
Chopeko na mnofu
Mzee tola
La-la-la
Nk
[emoji106] [emoji106] mkuu we ni noma miaka hyo kati ya 90s na 2000kma ckosei duh!![emoji4] [emoji4]
 
Karudi baba mmoja, Nani atamfunga paka kengele, samaki wangu jikoni, Pamela na kipini, Hawafu mwenye nguvu,
 
1.Lindu amuokoa kapilima,
2. Chilunda apambana na chui
3.Siku ya gulio Katerero
4.Sizitaki mbichi hizi
5.Loading...............
 
Back
Top Bottom