je wewe unakumbuka hadithi gani ya zamani nzuri na ya kuvutia uliyokuwa unaipeanda sana kipindi upo shule ya msingi miaka ileeee ya zamani
tukianza Mimi nilikuwa nazipenda hadithi mbili moja SIKUJUA na nyingine ya MAJARIWA ambazo zilikuwa kwenye kitabu cha darasa la sita na mwisho wa siku hadithi hizi zilipelekea hadi nikaiba kitabu cha darasa la sita