Tukumbushe a.k.a yako ya shule/Chuo

Tukumbushe a.k.a yako ya shule/Chuo

O LEVEL, p2p, A LEVEL hope,dume la mbegu,mume wangu,baba hamny
 
Hahahaha kama wanaambizanaga toka form four...mpaka chuo wananiutaga silent killer kisa nlikuaga natafuna madem wazuri afu sinaga story mingi na mtu na wala sikuaga na mapenzi ya show off..
 
O & A lever proffessor
Politician
Chuo
Proffessor
Mheshimiwa
 
Sekondari walijuwa kama Jah Kisado
Ezi hizo Kilimanjaro Boyz
 
kova na vijana wake wananiita
mtoto wa mbwa / panya road
 
Nilikuwa naitwa "men fighter" nikiwa secondary, disco ya kwanza vidume 20 vilinilipia kiingilio cha disco kila mtu akidhani amewahi. Kuanzia hapo ikawa naitwa hilo jina.
 
Primary niliitwa KICHWA
Secondary O-level nikaitwa KICHAA
Secondary A-level nikaitwa MBUZI
University niliitwa BANGI
Sasa kwenye proffesion yangu naitwa LE CORBUSIER
 
O-level(form two) nlikuwa naitwa scientist kwa mbwembwe zangu za kusoma masomo ya sayans tu,form 3-4 wanaume walikuwa wananiita experiment,wanaake (genius) mana nlikuwa ni mwamba wa debate


Daa debate imenisaidia sana bwana fungi !
Ilinirahisishia sana kazi zangu zakuvizia si unajua ni full masifa !

Nikaanza kumwiga jama yangu Golden Chogo yupo DIT !
Anatiririka ung'eng'e kama kazaliwa ulaya ! Afu mbishi

Nami nilikuwa mbishi sana ! Basi full ma credit kwa ponds
 
Daa debate imenisaidia sana bwana fungi !
Ilinirahisishia sana kazi zangu zakuvizia si unajua ni full masifa !

Nikaanza kumwiga jama yangu Golden Chogo yupo DIT !
Anatiririka ung'eng'e kama kazaliwa ulaya ! Afu mbishi

Nami nilikuwa mbishi sana ! Basi full ma credit kwa ponds

Aisee debate mpaka nilipewa cheo cha Director wa English shule nzima na academic teacher
 
A level pale SHYCOM wananchi wakiona pameandikwa hizi herufi tatu "kbm" basi wanajua nimepita hapo.
Japo hii ni jina mtu humu jamvini. kbm popote pale ulipo, mimi ni ndugu yako katika jina. We share an aka name.
 
Last edited by a moderator:
Bichwa,,,nilikuwa nashika chaki nakata pindi kama ticha. A-level hiyo "Peoples Confused Brain".
Wapi chobweno haule,,,munde,,mpitimbi,,,ha ha ha.
 
du o level walikuwwananiita African lady coz the way of behaving,advance waliniita Mkareecoz nlikuwa sina time na mtu always bize with my things sa mvulana mweny swaga hizo aliitw Msolid bas mi nikaw Mkaree
 
Back
Top Bottom