Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
O-level(form two) nlikuwa naitwa scientist kwa mbwembwe zangu za kusoma masomo ya sayans tu,form 3-4 wanaume walikuwa wananiita experiment,wanaake (genius) mana nlikuwa ni mwamba wa debate
Daa debate imenisaidia sana bwana fungi !
Ilinirahisishia sana kazi zangu zakuvizia si unajua ni full masifa !
Nikaanza kumwiga jama yangu Golden Chogo yupo DIT !
Anatiririka ung'eng'e kama kazaliwa ulaya ! Afu mbishi
Nami nilikuwa mbishi sana ! Basi full ma credit kwa ponds