Tukumbushe wasanii,waigizaji,wachezaji waliofariki wakiwa katika kazi zao za sanaa

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Kwa upande wangu nawakumbuka
1. Marc vivan foe..huyu ni mchezaji wa timu ya cameroon ambaye alifia uwanjan

2. Papa wemba alifia stejin akiwa anatumbuiza

3. Blondon lee huyu alifariki wakati wanashoot movie.ni mdogo wa blue lee

3. Kuna bend nimeisahau jina ilikuwa ina paform katika meli ya titanic.mpaka meli inazama inasemekana walikuwa bado wanapafom

Wewe unakumbuka watu gani..tufahamishane wadau
 
 
Brandon Lee hakuwa mdogo wa Bruce Lee bali alikuwa Mtoto wa Bruce Lee.

Miriam Makeba pia alifia jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…