Tukumbushe wasanii,waigizaji,wachezaji waliofariki wakiwa katika kazi zao za sanaa

Tukumbushe wasanii,waigizaji,wachezaji waliofariki wakiwa katika kazi zao za sanaa

Ismaili Mrisho Khalfani,
Patrick Ekeng,

Cheick Tiote,
Mac Vivian Foe!

Wapumzike kwa Amani!
 
Mzee Nanjenga, aliyefia kwenye kifua cha mwanamke wa Kitanga.
 
brandon lee alikuwa mtoto wa bruce lee sio mdogo wake
 
Sheickh Tiote wa Cote de' Ivore
 
Ilikuaje

sent from dj room
Nadhani huyu ndie mchezaji wa kwanza kufariki uwanjani hapo Tanzania. Nadhani allikuwa mchezaji wa Simba, na alifariki kwenye mechi ya Simba na Yanga miaka ya 70. Nadhani jina lake likikuwa John Tindwa.
 
Back
Top Bottom