Tukumbushe wasanii,waigizaji,wachezaji waliofariki wakiwa katika kazi zao za sanaa

Tukumbushe wasanii,waigizaji,wachezaji waliofariki wakiwa katika kazi zao za sanaa

Samson okwaraji mnaijeria huyu mwaka 1986 katika uwanja wa surulele anaanguka na kufariki tulikuwa tunapata khabari kupitia gazeti la Africa Now lilikuwa linatoka mara moja kwa mwezi.
 
Eddie Guerrero mwana mieleka akiwa kwenye mechi na JBL
 
Back
Top Bottom