Tukumbushe wasanii,waigizaji,wachezaji waliofariki wakiwa katika kazi zao za sanaa

Kanumba hakufariki akiwa location? Mimi namaanisha waliofariki wakiwa kazini.muda kifo kinawakuta..soma maelezo yangu na mifano niliyotoa pale juu bosi


Kanumba alikufa wakati yupo location au hajui kifo chake kilitokeaje wewe?
 
daaah ile bendi kwenye titanic aisee wenzao wapo bize kujiokoa wao wala hawana habari ndio kwanza wanazidi kutumbuiza tu
 
Adam Kuambiana (bongo movie) alifariki location wakiandaa movie kwa vidonda vya tumbo!!!!!! Ukinibishia ww kiburi tuuu
 
Isa matona kama sikosei huyu alipata ajali mitaa ya Diamond jubileee akiwahi kutumbuiza kama sikosei
 
Owen Heart, mcheza mieleka wa WWE alikufa akishuka na kambwa kwenye ulingo kamba ikakatika
 
No. 3 Ni Brandon Lee mtoto wa marehemu Bruce Lee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…