G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 Jun 24, 2017 #81 Samson okwaraji mnaijeria huyu mwaka 1986 katika uwanja wa surulele anaanguka na kufariki tulikuwa tunapata khabari kupitia gazeti la Africa Now lilikuwa linatoka mara moja kwa mwezi.
Samson okwaraji mnaijeria huyu mwaka 1986 katika uwanja wa surulele anaanguka na kufariki tulikuwa tunapata khabari kupitia gazeti la Africa Now lilikuwa linatoka mara moja kwa mwezi.
Nyangaramera Member Joined Jan 19, 2017 Posts 59 Reaction score 43 Jun 24, 2017 #82 Nazir mchomba 2001 afc arusha vs 44 kj sokoine stadium mbeya
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,333 Reaction score 7,879 Jun 24, 2017 #83 Petro E. Mselewa said: Click to expand... Marc Viven Foe... Daaah!! Ilikuwa ni mechi ya nusu fainali ya kombe la mabara dhidi ya Colombia mwaka 2003 kwenye uwanja wa Olympic Lyon. R.I.P Foe kifo chake kilishtua wengi sana.
Petro E. Mselewa said: Click to expand... Marc Viven Foe... Daaah!! Ilikuwa ni mechi ya nusu fainali ya kombe la mabara dhidi ya Colombia mwaka 2003 kwenye uwanja wa Olympic Lyon. R.I.P Foe kifo chake kilishtua wengi sana.
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,794 Reaction score 5,352 Jun 25, 2017 Thread starter #84 issenye said: Deejay nasmile alikuwa wakati anaandika Click to expand... We jamaa
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,794 Reaction score 5,352 Aug 30, 2020 Thread starter #85 Panther
pumzihaiuzwi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2015 Posts 3,273 Reaction score 3,083 Aug 31, 2020 #86 Timu ya taifa ya zambia wakiwa wanaenda kukipiga ndege ikazingua wali dedi wotee
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Aug 31, 2020 #87 Adam Kuambiana akiwa location
Frega Bao JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 553 Reaction score 361 Sep 2, 2020 #88 Eddie Guerrero mwana mieleka akiwa kwenye mechi na JBL
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,183 Sep 2, 2020 #89 Aaliyah.
kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,341 Sep 2, 2020 #90 Foe alisikitisha sana
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,024 Reaction score 11,546 Sep 2, 2020 #91 Kanumba