kulangwa22
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 739
- 546
Ukishaacha yale majani korofi ya arusha utaoa au kuolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna watu wanatoa mahari siku hiziSasa hivi mahari imepanda bei kidogo..ni milioni 2 mpaka 3.
Ukijumlisha gharama za harusi na za kuanzia maisha: unaishia kuumiza kichwa na huzuni.
NB: Wazee watupunguzie mahari ili vijana tuoe
Dogo Janja, Blue, mbona wanafanya ubishoo kama kawa na wameoa
Kumbe mkuu unatumia mbinu gani.Hivi kuna watu wanatoa mahari siku hizi
Kabisa ukiwa na familia inakufanya kuwaza ya muhimu na maendeleo mke au mume ni wakusaidiana aiseeKwelii hata uwe na kila kitu familia ina umuhimu wake
Wewe hana mbele wala nyuma kuishi mwenyewe hajui atakula nini hyo ni furaha anaumwa hata watu hawajui usiseme hivo kuna umri ikifika utaona umuhimukuna la maana lipi hapa duniani lakufanya wewe...acha jazzband. la maana duniani ni furaha basi. sasakama jamaa ana furahia hayo maisha inatosha.
Kuna Watu wana nogwa [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huku kwetu Kwamtogole kuna bibi mmoja aliitwa Bi Lilian, hakuwahi kuolewa wala kujaliwa mtoto. Aliishi kwenye chumba cha kupanga. Baadae sana watoto wa kaka zake walimnunulia nyumba mitaa hii hii.
Akiugua mwenyekiti wa mtaa anaitisha kikao na watu hupeana zamu ya kwenda kumuona, kumpeleka chakula na kumbadilishia nguo.
Alivyokua na mdomo mrefu akitoka hospitali alikuwa anasema “kumbe mama Ashura anapikia kuni? Chai yake ilinishinda inanuka moshi”.
Bi Lilian alikufa kipweke sana.
Unaweza ukawa umeoa afu unachepuka na mkeo naye anachepuka yaleyale tuHuogopi dhambi mkuu
We dada kwa visa na mikasa ni konyoHuku kwetu Kwamtogole kuna bibi mmoja aliitwa Bi Lilian, hakuwahi kuolewa wala kujaliwa mtoto. Aliishi kwenye chumba cha kupanga. Baadae sana watoto wa kaka zake walimnunulia nyumba mitaa hii hii.
Akiugua mwenyekiti wa mtaa anaitisha kikao na watu hupeana zamu ya kwenda kumuona, kumpeleka chakula na kumbadilishia nguo.
Alivyokua na mdomo mrefu akitoka hospitali alikuwa anasema “kumbe mama Ashura anapikia kuni? Chai yake ilinishinda inanuka moshi”.
Bi Lilian alikufa kipweke sana.
Hahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] u have made my daySijaoa na sijafikiria nataka Nile ujana Kisha nikule na uzee, watoto nnao nalea kwa whatsup
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nime wahi siti "" bila shaka hii itakuwa ni ya bomberdier
Bi Lilian hakua na shukrani...r.I.pHuku kwetu Kwamtogole kuna bibi mmoja aliitwa Bi Lilian, hakuwahi kuolewa wala kujaliwa mtoto. Aliishi kwenye chumba cha kupanga. Baadae sana watoto wa kaka zake walimnunulia nyumba mitaa hii hii.