Tukutane hapa ambao hatuna mpango wa kuoa kwa Me au kuolewa kwa Ke

Sasa hivi mahari imepanda bei kidogo..ni milioni 2 mpaka 3.

Ukijumlisha gharama za harusi na za kuanzia maisha: unaishia kuumiza kichwa na huzuni.

NB: Wazee watupunguzie mahari ili vijana tuoe
Hivi kuna watu wanatoa mahari siku hizi
 
kuna la maana lipi hapa duniani lakufanya wewe...acha jazzband. la maana duniani ni furaha basi. sasakama jamaa ana furahia hayo maisha inatosha.
Wewe hana mbele wala nyuma kuishi mwenyewe hajui atakula nini hyo ni furaha anaumwa hata watu hawajui usiseme hivo kuna umri ikifika utaona umuhimu
 
Kuna Watu wana nogwa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
We dada kwa visa na mikasa ni konyo
 
Bi Lilian hakua na shukrani...r.I.p
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…