Pemba empire
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 467
- 1,339
- Thread starter
-
- #181
Mzee baba tuko pamoja.......Hii midude sometimes bila Kofi mbili tatu haiendi. Hii tekiniki nilitoa kwa dingi
Halafu kajamaa si kafupi katakua kalivo mtwisha stuli akaenda chini ndo kakamfuata kumtia vitasa sasa vya kufa mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapigwe tu maana hamna namna mbona hata mhutu anampiga mkewe tena na stuli mpaka akalazwa
Alikuwa na wivu,nilichelewa kutoka saluni na hiyo saluni alinipeleka yeye msusi alikuwa na mkono mzito,kila akija bado nasukwa,Nilikaa saluni kama masaa 5 alipokuja kunichukua akaanza kunitukana na kuwatukana wadada wa saluni kuwa analetewa mteja alafu wanamwacha anaenda kwa mwanaume kwanza,walipojaribu kujitetea na kunitetea ndio hapo akanirukia na kunipiga hata kuondok na nywele nilizosuka kwa mkonoKosa lilikuwa nini dada?
Na wewe unajibu ukipigwa?Unanipiga nakuangalia tu
Unavyoongea hivi tukichunguza kwa karibu lazma mwanaume wako atakuwa akikoroma tu unaufyata halafu unasema wenye dalili ya ubabe hawana nafasi. Ningekuwa mgeni wa KE hapo sawaWanaume wenye dalili za ubabe hawajawahi kuwa na nafasi kwenye maisha yangu
Nikuangalie nakuleaNa wewe unajibu ukipigwa?
Aaaah wapi lijamaa bado linabandua tu......Kuna tabia ambazo njia pekee ya kumaliza ni makofi. Wangu alikuwa na tabia za kupenda kuchati chati hovyo na ex licha ya kumkataza. Siku ya siku akateleza meseji ikaja kwangu bahati mbaya. Nikamuibukia hostel kwao na akajidai room mate ndo alikuwa na simu na alikuwa anam sms jamaayake. Nilijua anadanganya kwani jina na uandishi wake nautambua vyema. Hasira zikanipanda nikamlamba vibao, roomates wake wakaingilia kati kuamua. Nao wakala vibao. Nilikuwa fox ile mbaya na nikakata uhusiano nae. Ila baada ya wiki moja akajirudi nakuomba msamaha akisindikizwa na wale marafiki zake. Kichapo kilisaidia, kwani kwasasa ni wife tayari na kila akikumbuka huwa anacheka sana maana anadai ubinti/utoto ulikuwa unamsumbua.
Kabisa mkuuKutukana na mwanamke aipendezi atu kumzalilisha adharani mbele ya watoto au Yoyote. Binafsi nilisemaga sipigi mke/siruhusiwi kwanza ila Kuna wakati atakuletea chokochoko Aisee funga mlango MABANZI MANNE AU MATANO mazuri ya Mashavu kwa MWAKA Hayatamuua kwanza ni mazuri kwa afya yake .tukiwalegezea tutakuwa maboya
Kama sio mtu wa kauli design ya vepee na mfyuu ujue utapona makofi kwangu ila kama mtu wa kuropoka ushenzi badala ya kutumia kauli nzuriwakati tumehitilafiana utautambua uongozi.Yani mimi ukinipiga na mapenzi yameisha..cha kutoana ngeu kisa nini
Ukivunjwa taya au ukaharibiwa uso utapendwa na Nani?Nikuangalie nakulea
Lile bumbuazi utalokuwa nalo baada ya kutoamini kilichotokea utatoka chozi laini huku umekunja sura. Hio nguvu hata hutakuwa nayoHeheeheheh mwanaume akisogeza mkono kunipiga nitakavyompa kondeeee mpaka ataomba poooo
Hayo maneno mawili ndio yatakayofanya unitwange makofi?Kama sio mtu wa kauli design ya vepee na mfyuu ujue utapona makofi kwangu ila kama mtu wa kuropoka ushenzi badala ya kutumia kauli nzuriwakati tumehitilafiana utautambua uongozi.
Mh hapo kwa kweli sijaona sababu ya yeye kukupiga! Halafu pia yawezekana wewe ni mzuri haswa yaani mrembo unavutia hivyo ndio maana akawa ana wivu sana na wewe,hata mimi napiga ila inatokana na sababu.Alikuwa na wivu,nilichelewa kutoka saluni na hiyo saluni alinipeleka yeye msusi alikuwa na mkono mzito,kila akija bado nasukwa,Nilikaa saluni kama masaa 5 alipokuja kunichukua akaanza kunitukana na kuwatukana wadada wa saluni kuwa analetewa mteja alafu wanamwacha anaenda kwa mwanaume kwanza,walipojaribu kujitetea na kunitetea ndio hapo akanirukia na kunipiga hata kuondok na nywele nilizosuka kwa mkono
Labda siyo DemissLile bumbuazi utalokuwa nalo baada ya kutoamini kilichotokea utatoka chozi laini huku umekunja sura. Hio nguvu hata hutakuwa nayo
Yani uniboe nikupe maneno matamu matamu, labda nizaliwe upya!Maneno matamu matamu tu
Umbembelezi hata kidogo,? Sasa mkuu si watakukimbia wote?Yani uniboe nikupe maneno matamu matamu, labda nizaliwe upya!