Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Kumbe kipigo huwa kinasaidia sometyms .... Bado sielewi kwann mkiwa mnaanza mahusiano mdada anasisitiza kutopigwa wakati wao wanajua inasaidia... Binafsi kuna mambo mwanamke akiyasema nachukua inverse yake...!!
 
Je utafurahi ukikuta mama yako anakula makofi toka kwa baba yako? Kama sivyo, basi jiepushe kuwapiga wanawake kwani hao ni mama zetu pia ni mama wa watoto wetu.
Walaa siiwezi shangaa

Wanawake wa zamani (mama zetubibi zetu )

Vichapo ndoo viliwaweka sawa

Hata maandiko yana semaa
 
Nilishakuwa naye na ndipo nilipojifunzia kuweka makofi.
Ila kama wewe upo hivyo na mumeo hakugusi basi ujue umeoa mume! Halipi chochote anakaa kwako.
Huwezi nikera nikakujibu kitakatifu..hilo kwangu hapana..nipige kofi lako lakini siwezi kukuacha salama
 
Huwezi nikera nikakujibu kitakatifu..hilo kwangu hapana..nipige kofi lako lakini siwezi kukuacha salama
Kwahio nikikukera ndio ticket au dhamana ya kutoa kauli za kishenzi, labda kam sikulipa mahari kwenu sawa, tena nawapenda wanawake viburi kama wewe ili ukileta fyoko nikufue ujifunze kukaa kimya sio kujibu utumbo.
Unaonekana una asili ya kiburi sana, ulilelewa katika mazingira ya kujitawala sana.
 
Walaa siiwezi shangaa

Wanawake wa zamani (mama zetubibi zetu )

Vichapo ndoo viliwaweka sawa

Hata maandiko yana semaa
huna tofauti na wanaokumbatia mila ya ukeketaji kisa wazee wetu walikuwa wanafanya. Huwezi ukawa mentally upo sawa halafu unafurahia kupiga wanawake. Kumpiga mtu ni hatua ya mwisho kabisaaa baada ya zote kushindikana. Hivi kwa akili zako unafikiri wanawake wao huwa hawaudhiki na vitendo vyetu wanaume? Je nao watupige?.
 
Jiangalie vizuri kwa kioo halafu unagalie USO wa nyani angalia upana wa pia, urefu wa paji ya USO na urefu wa toka kwa pua mpk kwa mdomo, kuna features lazima zinafanana na nyani, otherwise binadamu wa kiume hawapigani na wanawake.
 
huna tofauti na wanaokumbatia mila ya ukeketaji kisa wazee wetu walikuwa wanafanya. Huwezi ukawa mentally upo sawa halafu unafurahia kupiga wanawake. Kumpiga mtu ni hatua ya mwisho kabisaaa baada ya zote kushindikana. Hivi kwa akili zako unafikiri wanawake wao huwa hawaudhiki na vitendo vyetu wanaume? Je nao watupige?.
Maadilii ya wanawake yameharibiwa na na haoo wazungu walio kuletea mambo yao kisaasaa

Mwanamke bila vibao haendii
 
Je utafurahi ukikuta mama yako anakula makofi toka kwa baba yako? Kama sivyo, basi jiepushe kuwapiga wanawake kwani hao ni mama zetu pia ni mama wa watoto wetu.
Hiyo siku nakwambia mshua labda akalala mtaa wa pili kwa jilani ...[emoji23] [emoji23]
 
Sijawahi na sitowahi, na hata nikimpata nitajitahidi kadri ya uwezo wangu wote kuhakikisha changamoto zote napambana Nazo ilimradi amani na upendo uwepo maishani mwetu
 
Naunga mkono hoja mm nilikua najifanya sana mbabe halaf maneno mengi kwa ba watoto wangu weee...kuna siku aniwasha kofi 1 takatifu tangu siku hiyo nilibadilika kutoka kwenye usista duu na kua mama wa familia[emoji2]
Hivi hiyo kalenda ni ya kweli maana kuna mtu kapata ujauzito siku ya saba
 
wanaweke wa hivyo wapo, jamani huwa nabaki kushangaa, nawajua wanawake kama 5 hivi na ni rafiki zangu, huwa nawauliza hivi huo moyo wa kuvumilia kipigo mnautoa wapi? huwa nawauliza hivi mnahisi mkiachana na hao watu hamtapata wanaume wengine au ni vp? mana sio kwamba wana shida ni watu wanaoweza kumudu maisha bila hao wanaume lakini mwee, nimeshaacha hata kuwashauri mana naona napoteza muda tu, wakinihadiithia nabaki kuwaangalia tu,
Mapenzi upofu
 
Yani mimi kwa mwanamke napigaga papuchi tu na mguu watatu sionagi hata nipige wapi tena pengine aisee cz mwili wa hawa viumbe kote ni special tu
Utapiga wapi sasa.?!
 
Back
Top Bottom