Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Mimi bwana siku moja nikawa namuadabisha mtoto alileta utundu flani wa kijinga kwa kurudia rudia nikamueleza mama watoto ebu mkanye huyu mtoto maana namwambia anaona kama mchezo hivi...

Nikasema kama mara tano hivi mama watoto wala anisikilizi...Basi nikamtwaa mtoto nikaenda nae chumbani nikamuweka on bedi na kafimbo kadogo nikaanda kumuadabisha... Ghafla mama yaka akaja huko chumbani kama mbogo na kuntamkia neno moja la kiswahili huku akinivuta bega huku akisema "mwache huyo mtoto unaujua uchungu wewe" I see, kasi ya mzunguko nilioupiga na kutua kwenye mashavu ya pande zote mbila huwa naone kwenye sinema tu....

In less than a minute alikuwa vibao vya mashavu vya kutosha mpaka akachanganyikiwa. Maana alitaka kutoka nduki baada ya moto wa vibao kuwaka sawia akajikuta amekosea mlango na kujikita ukutani. Hapo nikamfuata na kuishika shingo kwa mkono wa kulia huku mkono wa kushoto ukiendelea kutoka adhabu ya vibao mfululizo. Kisha nikatoka na kurejea sebuleni.

Nakumbuka pale jikoni na sebuleni kulikuwa na mdada wa kazi na mdogo wangu wa kike wakubwa tu...nikagundua hata wao walikimbilia chumbani kujifungia maana walisikio makofi yalivokuwa yanamuweka sawa mtu.

Later on akaanza kupanga panga nguo kwenye mabegi eti ananipiga biti kusepa kwao. Nikamsubiri akapanga nguo zote....usiku akalala sebuleni nikaamka asbh nikajiandaa kwenda kazini...

Kabla ya kuondoka nikatoa angalizo matata sana...nikasema yeyote atakayetoka nje ya geti la nyumba hii asirudi hapa kwangu aende moja kwa moja na nisimuone hata kivuli chake.

Ikawa siku ya kwanza, siku ya pili, siku ya tatu, siku ya nne hakuna aliyetoka wala kusafirisha mabegi....

Hawa viumbe akileta abla kadabla hii ndio njia yenyewe ya kuwaweka sawa
 
Mmh. Haya bana Swahiba.

Niulize tu kwani huwa hakuna njia nyingine ya kutatua tatizo zaidi ya kipigo?
Hahahh
Ukiona hvyo hakuna.
Una kuwa mpole na mnyenyekevu, ndo dharau zinazidi. Unasikia akijitapa kwa wenzie kuwa "nimemwek kiganjani, hafurukuti".

Sasa bibie unatushauri tutumie njia gan?
 
Mimi mke wangu amabe kwasasa tumeshaachana, siku moja alizidisha dharau...aisee nilimpa kichapo hadi akajisaidia haja kubwa. Kwanza nilimkaba koo, nikawa naminya (akitoa mimacho kama anakata roho) nalegeza, naminya tena...halafu naachia, kisha akal ngumi za chemba kama 8 hivi, akashindwa hata kulia, ile ananishangaa shangaa nikararua na kofi moja (lile la mikono miwili, yaani shavu la kulia na la kushoto kwa mpigo)....mtoto akazima, nikaita majirani...tukakuta amepandisha maruhani, ikabidi Ustadhi aitwe...baada ya kufanyiwa Sarah akazinduka, nikafukuza.
We ulitaka kuua, sio kupiga huko sheikh
 
Mwanaume au bwege mtozeni, hao ndio wanaochitiwa na kufanyiwa wanakuja kulia lia humu kutafta huruma ya members wengine jf
Ushawahi kuona nalalamikia mapenzi humu jamvini, haipo na haitokuja kutokea.. Tukubaliane tu kupiga piga wanawake ni ushamba, sijawahi kupiga ila ikitokea siku nimepiga itakuwa kanivuruga kweli kweli

Binafsi mimi ni mtu wa dharau, na najijua vizuri katika makuzi yangu ni ngumi mkononi, mie huwa sijui kuongea sana, sasa ukikaa unajibishana na mwanamke, unafatizana nae mdomoni utamuwezea wapi, binafsi nikimkosea nasema samahani uzuri karibia wote niliopata kuwa nao ni waelewa, tukipishana kauli nikiona anabwabwaja sana mie nainuka nakula zangu kona, nikirudi bado yupo na yale yale napotea, siwez jibishana na mwanamke, akitulia namueleza sipendi hiki na hiki, hata km nimekukosea hiyo haikuwa njia sahihi namuelewesha mpaka anaelewa..

Km ikitokea nimeuvagaa mkenge nimejikuta naangukia kwa janamke lenye gubu lipenda kisirani, basi ataona mahusiano yanakufa taratibu kwa kumkatia mawasiliano..

Lazima utengeneze mazingira ambayo mwanamke atakuwa adabu mkononi, we unategemea nini km mwanamke kakosea kidogo basi gubu wiki nzima unaongea ww tu, jua ukija kukosea nae utamsikia mwezi mzima.. Mimi ninavyowatreat hawez kudhubutu labda awe mkurya au kwao ni wana kipaji cha ugomvi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukiona hupigwi ujue una matumizi mazuri ya kinywa chako. Hio ndio siri pekee.

Ukitaka kuamini hebu badilisha hapo, jibu majibu ya karaha na mkato mkato("kwahio, "mi nfanyeje", nilikuomba au shobo", acha mambo ya kike basi") inshort majibu ya kunya kunya muda wote kwa muda wa week 2 tu utapata unachokitaka usisahau kuleta mrejesho.
Sasa ww inakuwaje mpaka mwanamke anafikia kukujibu hiv..

Kumbuka tundu dogo ndio huzamisha meli.
 
Ushawahi kuona nalalamikia mapenzi humu jamvini, haipo na haitokuja kutokea.. Tukubaliane tu kupiga piga wanawake ni ushamba, sijawahi kupiga ila ikitokea siku nimepiga itakuwa kanivuruga kweli kweli

Binafsi mimi ni mtu wa dharau, na najijua vizuri katika makuzi yangu ni ngumi mkononi, mie huwa sijui kuongea sana, sasa ukikaa unajibishana na mwanamke, unafatizana nae mdomoni utamuwezea wapi, binafsi nikimkosea nasema samahani uzuri karibia wote niliopata kuwa nao ni waelewa, tukipishana kauli nikiona anabwabwaja sana mie nainuka nakula zangu kona, nikirudi bado yupo na yale yale napotea, siwez jibishana na mwanamke, akitulia namueleza sipendi hiki na hiki, hata km nimekukosea hiyo haikuwa njia sahihi namuelewesha mpaka anaelewa..

Km ikitokea nimeuvagaa mkenge nimejikuta naangukia kwa janamke lenye gubu lipenda kisirani, basi ataona mahusiano yanakufa taratibu kwa kumkatia mawasiliano..

Lazima utengeneze mazingira ambayo mwanamke atakuwa adabu mkononi, we unategemea nini km mwanamke kakosea kidogo basi gubu wiki nzima unaongea ww tu, jua ukija kukosea nae utamsikia mwezi mzima.. Mimi ninavyowatreat hawez kudhubutu labda awe mkurya au kwao ni wana kipaji cha ugomvi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bas hongera man, kila mtu ana namna ya kudeal na hasira zake. Uko njema kwenye anger management
 
Kwahio nikikukera ndio ticket au dhamana ya kutoa kauli za kishenzi, labda kam sikulipa mahari kwenu sawa, tena nawapenda wanawake viburi kama wewe ili ukileta fyoko nikufue ujifunze kukaa kimya sio kujibu utumbo.
Unaonekana una asili ya kiburi sana, ulilelewa katika mazingira ya kujitawala sana.
Kutoa mahari sio sababu bana weh..nifue na hayo makofi yako tufunzane
 
Sasa ww inakuwaje mpaka mwanamke anafikia kukujibu hiv..

Kumbuka tundu dogo ndio huzamisha meli.
Huo nimetoa mfano tu, ni kauli ambazo ni common kwa mademu wenye vidomo domo.
Kuna manzi alilalamika kuwa ye hajawahi kupigwa katika mahusiano.
Nimempa mbinu ya kujaribu aone kama hataguswa,ghafla aanze ghadhabu kwa kauli hizo za kishenzi kisha alete mrejesho.
 
Bas hongera man, kila mtu ana namna ya kudeal na hasira zake. Uko njema kwenye anger management
Mie sehemu nisiyoweza kudhibiti hasira mara nyingi ilikiwa ni kwa mwanaume mwenzangu kidogo, nayo ilikuwa zamani ndio nilikuwa ngumi mkononj, dk 0 tu nishamtia mtu midosi ya uzito wa juu.

Kuna makosa mtu unaweza kumpiga mwenz wako nikakuelewa lakini kuna makosa mengine hayana kichwa wala miguu mtu anamjaza makofi.

Usidhani kuwa sijawahi kukutana na mitihani mkuu, kuna siku moja nilikuwa nishavurugwa nae shemejio akaanza kuniletea mambo meusi nikaona ngoja nisepe, nasepa kaanza kuongea maneno mengi, mara anizuie nisitoke mara anivute sijui anasema namdharau mara hivi, basi nilimgeukia kwa hasira nikamjibu "we **** usitegemee nitakupiga mie sijui kupiga nitakutwanga, na sintakupiga km mpenz wangu nitakupiga km kidume mwenzangu **** wee" nikamuona kaduwaa kwanza hajazoea kuniona hivyo alikuwa akisikia tu uraiani km mie ni mtata, nikamsukuma nikasepa, jioni anapiga simu missed call km 30 na kitu hivi, mwenyewe akaomba msamaha, mpaka kesho huwa ananikumbusha hiyo kauli.

Ugomv na mtu unaeishi nae nyumba moja si mzuri, mtu anakupikia n.k unategemea aseme alipe vinginevyo mtu unaamka kesho huna pumbu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha ha ha ha haaaaa[emoji848][emoji848][emoji848] aisee me nilimchapaga Malaya mmoja kofi la Sikio hasi nikachana Sikio lake kwa Hereni yake alovaaNacheka kama mazuri vileee
 
Huo nimetoa mfano tu, ni kauli ambazo ni common kwa mademu wenye vidomo domo.
Kuna manzi alilalamika kuwa ye hajawahi kupigwa katika mahusiano.
Nimempa mbinu ya kujaribu aone kama hataguswa,ghafla aanze ghadhabu kwa kauli hizo za kishenzi kisha alete mrejesho.
Yah!! Zipo kauli ambazo zinakera trna sana, ila ukiona mwanamke anatoa kauli hizo jitathimini aidha kuna sehem unakosea..

Binasi napenda kupendwa, ambapo ni kujalwa, kuheshmiwa na kuthaminiwa, sasa akinitolea kauli mbov km hizo ajue tu uhusiano utakuwa sababu aishakuwa hanithamini, km hanithamini uanaume wangu uko wapi, na mie najua uanaume wangu haupo kwenye makofi, mapenzi yatakuwa kushney malegea tuu
 
sie wengine wala hatupigwi tunabembelezwa tu
 
Back
Top Bottom