Mie sehemu nisiyoweza kudhibiti hasira mara nyingi ilikiwa ni kwa mwanaume mwenzangu kidogo, nayo ilikuwa zamani ndio nilikuwa ngumi mkononj, dk 0 tu nishamtia mtu midosi ya uzito wa juu.
Kuna makosa mtu unaweza kumpiga mwenz wako nikakuelewa lakini kuna makosa mengine hayana kichwa wala miguu mtu anamjaza makofi.
Usidhani kuwa sijawahi kukutana na mitihani mkuu, kuna siku moja nilikuwa nishavurugwa nae shemejio akaanza kuniletea mambo meusi nikaona ngoja nisepe, nasepa kaanza kuongea maneno mengi, mara anizuie nisitoke mara anivute sijui anasema namdharau mara hivi, basi nilimgeukia kwa hasira nikamjibu "we **** usitegemee nitakupiga mie sijui kupiga nitakutwanga, na sintakupiga km mpenz wangu nitakupiga km kidume mwenzangu **** wee" nikamuona kaduwaa kwanza hajazoea kuniona hivyo alikuwa akisikia tu uraiani km mie ni mtata, nikamsukuma nikasepa, jioni anapiga simu missed call km 30 na kitu hivi, mwenyewe akaomba msamaha, mpaka kesho huwa ananikumbusha hiyo kauli.
Ugomv na mtu unaeishi nae nyumba moja si mzuri, mtu anakupikia n.k unategemea aseme alipe vinginevyo mtu unaamka kesho huna pumbu[emoji23] [emoji23] [emoji23]