Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Kosa lilikuwa nini dada?
Alikuwa na wivu,nilichelewa kutoka saluni na hiyo saluni alinipeleka yeye msusi alikuwa na mkono mzito,kila akija bado nasukwa,Nilikaa saluni kama masaa 5 alipokuja kunichukua akaanza kunitukana na kuwatukana wadada wa saluni kuwa analetewa mteja alafu wanamwacha anaenda kwa mwanaume kwanza,walipojaribu kujitetea na kunitetea ndio hapo akanirukia na kunipiga hata kuondok na nywele nilizosuka kwa mkono
 
Wanaume wenye dalili za ubabe hawajawahi kuwa na nafasi kwenye maisha yangu
Unavyoongea hivi tukichunguza kwa karibu lazma mwanaume wako atakuwa akikoroma tu unaufyata halafu unasema wenye dalili ya ubabe hawana nafasi. Ningekuwa mgeni wa KE hapo sawa
 
Kuna tabia ambazo njia pekee ya kumaliza ni makofi. Wangu alikuwa na tabia za kupenda kuchati chati hovyo na ex licha ya kumkataza. Siku ya siku akateleza meseji ikaja kwangu bahati mbaya. Nikamuibukia hostel kwao na akajidai room mate ndo alikuwa na simu na alikuwa anam sms jamaayake. Nilijua anadanganya kwani jina na uandishi wake nautambua vyema. Hasira zikanipanda nikamlamba vibao, roomates wake wakaingilia kati kuamua. Nao wakala vibao. Nilikuwa fox ile mbaya na nikakata uhusiano nae. Ila baada ya wiki moja akajirudi nakuomba msamaha akisindikizwa na wale marafiki zake. Kichapo kilisaidia, kwani kwasasa ni wife tayari na kila akikumbuka huwa anacheka sana maana anadai ubinti/utoto ulikuwa unamsumbua.
Aaaah wapi lijamaa bado linabandua tu......
 
Kutukana na mwanamke aipendezi atu kumzalilisha adharani mbele ya watoto au Yoyote. Binafsi nilisemaga sipigi mke/siruhusiwi kwanza ila Kuna wakati atakuletea chokochoko Aisee funga mlango MABANZI MANNE AU MATANO mazuri ya Mashavu kwa MWAKA Hayatamuua kwanza ni mazuri kwa afya yake .tukiwalegezea tutakuwa maboya
Kabisa mkuu
 
Alikuwa na wivu,nilichelewa kutoka saluni na hiyo saluni alinipeleka yeye msusi alikuwa na mkono mzito,kila akija bado nasukwa,Nilikaa saluni kama masaa 5 alipokuja kunichukua akaanza kunitukana na kuwatukana wadada wa saluni kuwa analetewa mteja alafu wanamwacha anaenda kwa mwanaume kwanza,walipojaribu kujitetea na kunitetea ndio hapo akanirukia na kunipiga hata kuondok na nywele nilizosuka kwa mkono
Mh hapo kwa kweli sijaona sababu ya yeye kukupiga! Halafu pia yawezekana wewe ni mzuri haswa yaani mrembo unavutia hivyo ndio maana akawa ana wivu sana na wewe,hata mimi napiga ila inatokana na sababu.
 
Back
Top Bottom