mm aliwah nizingua lakin kabla sjachukua maamuzi, alitokea jamaa hata alikotoka sijui akanipamia, ilikuwa ni usiku, nikamuuliza brother vipi? nikala tusi, nikatukaniwa tena na mpenzi wangu akaitwa malaya, ye wakati ananiambia tuondoke, yule jamaa akaona kama haitoshi akaja kunisukuma, yaani kama alidhamiria hivi...yule jamaa alichezea ngumi mbili za maana, nakumbuka nilimpa shambulizi moja la karibu na sikio na taya, akaanguka kama mwenye mapepo, nikamfata nikamuinua nikampa kitasa kingine palepale nilipopiga mwanzo,. jamaa kimyaa, mdomo unatoa damu na mapovu, sikio pia latoa damu, mtu anakoroma, nikaona huu msala, yule mtoto wa kike Tangu siku akawa ananiogopa na mahusiano yakafia hapo...cjawah toa kichapo kwa mtoto wa kike, maana sijambo la busara pia nahisi naweza leta madhara makubwa...najiepusha sana kupishana hasa na wanawake, wengi wana kauli za kuudhi na kama una hasira za karibu, unaweza jikuta unaishia pabaya