Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Hakuna real wala kidding hapa,bila Makofi nyiyi huwa mnatupanda vichwani
Ati kakosa kadooogo tu,
Yaani nusu lita ya maji itakuwa Simtank ya lita elf1[emoji1321]
Hahaha umemjibu kikauzu balaa,hahah
 
tena we wa kupigwa sana tu,,.ningekupa za chembe km sita hivi..ungesimulia vizur.
Hahah hatari punguza dozi mkuu,jana kuna mshkaji Mwz amemkaba demu wake ofisini hadi akamuua onspot,hatari sana afu chalii mwenyewe ana miaka 25 tu.
 
Sasa wewe haugopi jinsia yoyote afu unaombwa uepushiwe mwanaume wa hivyo.

Omba ukutane nae ndo utajua kichapo kikianza hio jinsia itaogopeka au la.

NB:I DON'T SUPPORT DOMESTIC VIOLENCE,lkn sometimes watu hua wanapewa dozi kwa ukuda wao wakujitakia.
 
Madem wenyewe wamejaa ivi unamtishia nani mapenzi wewe?

Alaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mapenzi na kujaa kwa mademu ni vitu viwili tofauti, kunaweza kuwa na mademu wengi lakini kukawa hakuna mapenzi na kunawe kuwepo kwa demu mmoja tu na mapenzi yakajaa tele
 
Mzazi wangu hajawahi nipiga hata shule yenyewe sijawahi chapwa Mimi jinsia yoyote akinizingua tu cha moto atakiona tena nikikasirika uwiii ka mbali aisee. Kujibu nakujibu nakunigusa hunigusa aisee bora nikuvute hzo p....mbu
Inaonekana hua unakutana na washkaji mayai mayai wa huko Masaki waliozea kupigwa kwa maneno na wazazi wao mpk wanalia.

Utakutana na wa huko Mwananyamala utapewa kichapo heavy mpk hizo mbupu utasahau kuzivuta.
 
Sasa wewe haugopi jinsia yoyote afu unaombwa uepushiwe mwanaume wa hivyo.

Omba ukutane nae ndo utajua kichapo kikianza hio jinsia itaogopeka au la.

NB:I DON'T SUPPORT DOMESTIC VIOLENCE,lkn sometimes watu hua wanapewa dozi kwa ukuda wao wakujitakia.
Mimi yoyote aiizingua sasa wewe jifanye kidume cjui jogoo mshenzi eti unanipiga loh kwanza Mimi hu date na watu matured
 
Inaonekana hua unakutana na washkaji mayai mayai wa huko Masaki waliozea kupigwa kwa maneno na wazazi wao mpk wanalia.

Utakutana na wa huko Mwananyamala utapewa kichapo heavy mpk hizo mbupu utasahau kuzivuta.
Hahaaaaaa mi had wa kanda maalumu nimedate nao na hawajawahi nigusa hata kidogo hayo kupiga ni ushamba tu yani
 
Hahaha...tayari kwa ongea, mwandiko na hulka yako, inakuanika mengi; either umelelewa na mzazi mmoja, au unatokea familia ya kishua (put in mind familia nyingi TZ ni za maisha ya kati)...sas in real life usilete ushua. Rules are tough.
It doesn't matter kulelewa na wote au mmoja hyo sio tija yakujifanya eti wanipiga weee siwezi, kwanza na date na MTU ambaye shamsoma saikolojia yake na tabia
 
Principle nikiwa secondary nilikua nikiltongoza demu akikataa anakula makofi ya maana, maana niliamin sina mapungufu kwann akatae, ananipa gundu... *****.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mada ya hii ilitakiwa isomeke
TUKUTANE HAPA TULIOFANYA UJINGA WA KUWAPIGA WAPENZI/WAKE ZETU NA JINSI TUNAVYOJUTIA UJINGA WETU

Kumpiga mwanamke ni ujinga na udhaifu wa kiakili walio nao baadhi ya wanaume, lakini kujisifia hadharani kwamba eti jana ulimpiga mwanamke wako ni ushamba wa kiwango cha juu. Unawezaje kumpiga mwanamke umpendae!!?? Unawezaje kumuomba tendo la ndoa mwanamke wako uliyempiga muda mfupi uliopita? Huo ni unyama ni ujinga wa hali ya juu. Mwanaume ukiona mwanamke analalamika au haendi na vile unavyotaka wewe, tambua kwamba kuna pengo kati yenu la kihisia au kimawasiliano na pengo hili hujazwa kwa hisia au mamawasiliano na SIO KWA KUMPIGA.

Ukweli ni kwamba msukumo wa mwanaume mpigaji unasababishwa na kushindwa kudhibiti HASIRA ZAKE na KUKOSA UVUMILIVU WAKE. Hasira kwamba anashindwa kushindana kwa hoja za mwanamke na anachoona rahisi kwake ni kupiga maana wanaume kwa asili wana nguvu (za kimwili) lakini wengi ni dhaifu kihisia.

Baada ya kupigwa mwanamke au wanawake wengi 'hutulia' kwa sababu ya hofu ya kupigwa tena kitendo ambacho wanaume wengi wapigaji hukitafsiri kwamba mwanamke wake 'amerudisha mapenzi' au 'sasa ana heshima' kumbe mapenzi yalishaisha. Kilichopo ni hofu na uoga na sio mapenzi.
 
Kidonda utakipata wewe na kimbelembele chako cha kunipiga kofi
Labda uniwekee sumu kwenye chakula kama alivyoshauri mdau mmoja hapo juu,mwanaume ni mwanaume tuu huna ubavu wa kupigana nae
 
Wewe ndo real man nakukubali wanaume wengi wanashindwa tu kuwaelewa waprnzi wao utampiga atakuwa kimya, ila ana enda nje kwa aliye mstaarabu
 
mm aliwah nizingua lakin kabla sjachukua maamuzi, alitokea jamaa hata alikotoka sijui akanipamia, ilikuwa ni usiku, nikamuuliza brother vipi? nikala tusi, nikatukaniwa tena na mpenzi wangu akaitwa malaya, ye wakati ananiambia tuondoke, yule jamaa akaona kama haitoshi akaja kunisukuma, yaani kama alidhamiria hivi...yule jamaa alichezea ngumi mbili za maana, nakumbuka nilimpa shambulizi moja la karibu na sikio na taya, akaanguka kama mwenye mapepo, nikamfata nikamuinua nikampa kitasa kingine palepale nilipopiga mwanzo,. jamaa kimyaa, mdomo unatoa damu na mapovu, sikio pia latoa damu, mtu anakoroma, nikaona huu msala, yule mtoto wa kike Tangu siku akawa ananiogopa na mahusiano yakafia hapo...cjawah toa kichapo kwa mtoto wa kike, maana sijambo la busara pia nahisi naweza leta madhara makubwa...najiepusha sana kupishana hasa na wanawake, wengi wana kauli za kuudhi na kama una hasira za karibu, unaweza jikuta unaishia pabaya
 
Hahah sawa mkuu basi,utakua nawe ni nunda.
Hahaaaaaa wa kanda maalumu alikuwa had ananiheshimu aisee mana najua Ku deal na kila mtu kulingana na hulka yake mwisho wa Siku kanda maalumu tumekuwa mabest hatari tunataniana hapa na pale tu yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…