dripu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 1,310
- 1,141
Mimi bwna kupiga mwanamke niliacha pale nilipo mpiga demu wangu mmoja hivi nikajifanya mjanja akaomba msamaha tukarudiana siku alinunua nyama akapika na kwenye bakuli yangu akaweka sumu ya panya tumekaa tunaanza kula tu akaniambia usile hiyo mboga akampa paka paka akafa akaniambia neno moja tu wewe ubabe wako peleka kwenu toka hapo nikashika adabu