Dada Dorrlyn
You are lying even further!
Ndani ya ndoa miaka 30,tuseme uliolewa ukiwa 25,now you are not less than 55!A 55 years woman anaeandika paragraph anasema "Mi" badala ya "Mimi",halafu "urself" badala ya "Yourself",halafu "u" badala ya "You" ni wazi you are lying big time!!!
Wewe ni msichana kijana ambae mos def hujaolewa bado...Inajionesha clearly the way unavyoandika!
Tuache hayo:
Baba hajawahi mpiga mama,hua unakua nao chumbani?Babu hajawahi mpiga bibi,una ushahidi ukiacha hadithi za kusimuliwa?
Kwanini ni "babu mzaa mama" tu?Kwanini hakuna "babu mzaa baba"?Inaonesha umelelewa na mama tu,baba hajawahi kua authority figure in yo life!Ndio maana unaona wanaume ni weaker version to yo mother,of which you totally wrong!Hiyo ni illusions,get'outta it and see the reality...Mwanaume atakae kuoa utamuona ni lesser version of a woman figure in yo life.The funny thing is,there is no such man!Cha msingi usiolewe tu,achana na usenge wa ndoa.
Bright men wana way of punishing mwanamke,which way mrs bright woman?My sister u are in science fiction,there is no such way...Mwanamke anakua combative,anatulizwa combatively.It is funny,mkiwa kwa baba zenu heshima mtindo mmoja,ukipasua hata sahani tu ni noma,ila ukiolewa unataka u-shit on your husband the way you want!Thats hilarious!