Mimi yoyote aiizingua sasa wewe jifanye kidume cjui jogoo mshenzi eti unanipiga loh kwanza Mimi hu date na watu matured
Huyu ana date na watu anaowamudu ndio maana anajisifia hawezi pigwa. Siku ajichanganye a date na kidume cha nguvu aone kama hajachezea mbalata akileta upuuzi. Una date na mume wa mtu saa ngapi ataanza kukupiga eti.Kumbe una date na ambae umeshamsoma saikolojia unajua kbs huyu hawezi kukupiga,basi usiseme huwezi kupigwa,ukizingua utakula kifinyo tuu hamna namna
Hahahahah angekuua huyo,,, ila akili za ajabu sana hizo. So toka hapo unavumilia upumbavu wote tu!Mimi bwna kupiga mwanamke niliacha pale nilipo mpiga demu wangu mmoja hivi nikajifanya mjanja akaomba msamaha tukarudiana siku alinunua nyama akapika na kwenye bakuli yangu akaweka sumu ya panya tumekaa tunaanza kula tu akaniambia usile hiyo mboga akampa paka paka akafa akaniambia neno moja tu wewe ubabe wako peleka kwenu toka hapo nikashika adabu
Limbwata au sio?Sijawahi kupigwa Mimi mwanaume ni jinsia tu ka jinsia nyingine na sibabaishwi na ukidume hata nikizaa kumi hana huo ubavu kabla hajanidunda kuniletea fyoko fyoko namfix mapema sana
Wewe huwezi ishi na mtu kama huyo siku ukijisahau na balimi ziko kichwani si unaweza piga tena nilimwacha ila huyu wa sasa simgusi kabisa ni kufoka tuHahahahah angekuua huyo,,, ila akili za ajabu sana hizo. So toka hapo unavumilia upumbavu wote tu!
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mimi bwna kupiga mwanamke niliacha pale nilipo mpiga demu wangu mmoja hivi nikajifanya mjanja akaomba msamaha tukarudiana siku alinunua nyama akapika na kwenye bakuli yangu akaweka sumu ya panya tumekaa tunaanza kula tu akaniambia usile hiyo mboga akampa paka paka akafa akaniambia neno moja tu wewe ubabe wako peleka kwenu toka hapo nikashika adabu
MMMH HAWEZ KUWA KANDA MAALUM HUYO,ALIKUONGOPEA MUULIZE VIZURI,HATUKO HIVYO,KWETU UKIJITOA AKIL NI MWENDO WA KIPIGO CHA MBWA KOKO TU,NO OTHER WAYS!!.Hahaaaaaa wa kanda maalumu alikuwa had ananiheshimu aisee mana najua Ku deal na kila mtu kulingana na hulka yake mwisho wa Siku kanda maalumu tumekuwa mabest hatari tunataniana hapa na pale tu yani
Ninacheka lkn umefanya upumbavu wa hali ya juu sana,yaan ilitakiwa siku hiyo hiyo arudi kwao yaan afanye upumbavu uache kumwadhibu?,na ninaamini ataendelea kukuchezea akili mpaka siku ya mwishoMimi bwna kupiga mwanamke niliacha pale nilipo mpiga demu wangu mmoja hivi nikajifanya mjanja akaomba msamaha tukarudiana siku alinunua nyama akapika na kwenye bakuli yangu akaweka sumu ya panya tumekaa tunaanza kula tu akaniambia usile hiyo mboga akampa paka paka akafa akaniambia neno moja tu wewe ubabe wako peleka kwenu toka hapo nikashika adabu
Tuliachana mkuu nisingekuwa na aman maana mimi ni mkorofi hivyo nikaona kabisa hapa nitakuwa jera ndogoNinacheka lkn umefanya upumbavu wa hali ya juu sana,yaan ilitakiwa siku hiyo hiyo arudi kwao yaan afanye upumbavu uache kumwadhibu?,na ninaamini ataendelea kukuchezea akili mpaka siku ya mwisho
We unaonesha unajua kujiposition kulingana na mtu. Hapo huwezi pigwa kwa mbinu hizo.Hahaaaaaa wa kanda maalumu alikuwa had ananiheshimu aisee mana najua Ku deal na kila mtu kulingana na hulka yake mwisho wa Siku kanda maalumu tumekuwa mabest hatari tunataniana hapa na pale tu yani
Kujiheshimu ndo mpango nakusikilizana basi bila hivo ni ngumu sana. Ila mkuu uwe makini na choice zako wewe wabeba Dada wa uswazi unategemea niniHongera kama umekulia kwa watu wanaojiheshimu na pengine unajua jinsi ya kuishi na mwanamume.
Wengine tumekulia humo ila tumekutana na washenzi ambao ni ngumu kuishi nao bila makofi. Mtu hasikii unafanyaje!?
Kidume cha nguvu huwa hapigi kabisa yani nyie mumekutana mnaofanana kitabia ndo manaHuyu ana date na watu anaowamudu ndio maana anajisifia hawezi pigwa. Siku ajichanganye a date na kidume cha nguvu aone kama hajachezea mbalata akileta upuuzi. Una date na mume wa mtu saa ngapi ataanza kukupiga eti.
utapigwa tu ukileta ujeuriMi mambo ya kupiga ctaki kuskia kabisa though ndoa ni muhimu, ila sio.kudundana aisee, pia huko Ku chart mbona nikutokujiheshimu mi nikiwa kwenye relationships huwa nakuwa mwaminifu, sasa na nyie mbona magwiji wakuchepuka
Mkuu Mimi cjui libwata kabisa kuna vtu vingi vyakumfanya mtu anadilike na u enjoy mapenzi yako bila shida. Hekima na busara ni muhimu kwenye mahusianoLimbwata au sio?
Kweli ni wakanda maalumu hajawahi kunigusa kabisa na nimekuwa nao wengi tu, yani had nikashangaa mahusiano mazuri niyakuheshimiana na kuwa na mipaka. Labda hyo kupiga labda ni hulka tu mliyoendekezaMMMH HAWEZ KUWA KANDA MAALUM HUYO,ALIKUONGOPEA MUULIZE VIZURI,HATUKO HIVYO,KWETU UKIJITOA AKIL NI MWENDO WA KIPIGO CHA MBWA KOKO TU,NO OTHER WAYS!!.
Mimi napenda kuweka mipaka na always Niko positive sijapenda kitu tutaongea kiypole tena wote mihemko ikiisha kuwa chini, maana kanda maalumu ana hasira Kali bila sababu Mimi nilikuwa nakua kimya baadae, namwbia hivi na hivi sijapenda anaelewa tu mwisho wa Siku alikuja kunipenda sanaWe unaonesha unajua kujiposition kulingana na mtu. Hapo huwezi pigwa kwa mbinu hizo.
Basi unaweza kuwa si mkorofi 100% sure,nimeanza kuamin hivyo tofauti na nilivyokuw nafikiri mwanzo kupitia maandishi yako,UKWELI NI HUU - HAKUNA MWANAMME MKOROFI MBELE YA MWANAMKE MPOLE/MSTAARABU,I can be convinced that you might be amongst of meek and civilized wives!!.Kweli ni wakanda maalumu hajawahi kunigusa kabisa na nimekuwa nao wengi tu, yani had nikashangaa mahusiano mazuri niyakuheshimiana na kuwa na mipaka. Labda hyo kupiga labda ni hulka tu mliyoendekeza