Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Makes a lot sense,,,
 
Kwa akili hizi hakuna mwanamme atakuja kukupiga,pengine awe na sababu tofauti za kikorofi tu!!.
 
Nmetoa mfano tu, mwanamke wangu hajanipa sababu ya kumpiga sitompiga...ila akileta zengwe anakula mbata tu!
 
Hahaaaa eti maandishi ya mwanzo sasa mkiheshimiana kwanini mdundane jamani, mi huwa mstaarabu tu nafanya yangu na Nina msoma mwenza wangu saikolojia nakuwa na kiac kwa kila jambo, hapo mwanaume ana lainika tu mwenyewe no kupigana
 
Kwa akili hizi hakuna mwanamme atakuja kukupiga,pengine awe na sababu tofauti za kikorofi tu!!.
Hawezi mkuu ni mwendo wa upendo tu nakuelewana hata kudhubutu hawezi hasa ukijali, naheshimu nafasi yangu ka mwanamke basi
 
Hahaaaa eti maandishi ya mwanzo sasa mkiheshimiana kwanini mdundane jamani, mi huwa mstaarabu tu nafanya yangu na Nina msoma mwenza wangu saikolojia nakuwa na kiac kwa kila jambo, hapo mwanaume ana lainika tu mwenyewe no kupigana
[emoji3] [emoji3] [emoji2] kabisa Mkuu!!.
 
Mi mambo ya kupiga ctaki kuskia kabisa though ndoa ni muhimu, ila sio.kudundana aisee, pia huko Ku chart mbona nikutokujiheshimu mi nikiwa kwenye relationships huwa nakuwa mwaminifu, sasa na nyie mbona magwiji wakuchepuka
Kama una adabu na mwaminifu mapenzi ni kama pepo ndogo endapo uko na mtu wa kufanania tabia zako.
 
Kujiheshimu ndo mpango nakusikilizana basi bila hivo ni ngumu sana. Ila mkuu uwe makini na choice zako wewe wabeba Dada wa uswazi unategemea nini
Hahahaha siwez beba demu wa uswahilini kwanza nawaogopa sana yani.
 
Hapa nimekukubali sana, kama hakika ndivyo ulivyo nitafute ukiwa single tuyajenge. Maana wanawake wenye hulka ya upole na kujua kucheza na hasira zetu wapo wachache mno.
 
Mi sijui ni kosa gani tu naweza kushindwa kujizuia mpaka nimpige mwanamke. Hata ile kupigana tu. Maana nikifikia huko huwa siwezi kuamliwa labda unikate shingo. Coz mwili huwa unakufa ganzi sisikii maumivu, mwili huwa unapata nguvu mara 20 na huwa nawaza kuua tu
 
Yeah huo ndo ukweli, hakuna mwanamume mkorofi mwanamke akiwa mpole. Hapo tutapigana kwa upinde wa kanga kama wanavyotaka ila kwa wale washenzi mikofi tu *****.
 
Hilo sina shaka maana wewe ni jini kisirani kama ulivyojipambanua kwenye ID yako humu
 
Ungempiga tu
Hahaha! Alifungua mlango na kusepa zake faster akaniacha nimeshika mashine yangu nisipate pa kuipachika. Mademu wengine wana kiranga sana aisee!
 
Mkwara huo baba, hana uwezo wa kufanya hivyoo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…