Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Mzazi wangu hajawahi nipiga hata shule yenyewe sijawahi chapwa Mimi jinsia yoyote akinizingua tu cha moto atakiona tena nikikasirika uwiii ka mbali aisee. Kujibu nakujibu nakunigusa hunigusa aisee bora nikuvute hzo p....mbu
Wajeuri wa namna yako huwa nawapenda kweli.
 
Ila mpaka anafikia huko ilikuwaje.. Aidha ulimuendekeza ama ana tabia hii tokea huko...
Hii nadhani ni sahihi. Wanawake wahaya ni wababe. Ndo maana mwanaume wa kihaya akishatoka uhayani 80% wataoa makabila mengine sio wenzao.
 
Daudi alimuua Goliath ipo siku watakuchomoa izo balls zako take care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…