D
Sio kwa makofihutolewi ngeu mama..unapewa makofi tu ya kubust akili
Eti nipigwe na penzi nitoe,aiseeee wana moyo...Yani mimi ukinipiga na mapenzi yameisha..cha kutoana ngeu kisa nini
Huwa wanapima kwanza so lazima afanye reaction then akiona jamaa amekaza akili inarudi mara moja.Yupo mmoja juzi jmosi nimemchapa nikaona anareact kwa kunikwida shati,aisee alikula mikanda ya kutosha...
NB:sinaga mkono wa kupigana na mwanamke ila kwa ilikuwa hamna zaidi kifinyo ili awe na displine
kwani we unapewa niniEti nipigwe na penzi nitoe,aiseeee wana moyo...
Maneno matamu matamu tukwani we unapewa nini
ebu tuyajenge mimi na wewe basi..alafu tuoneHahahaa aisee natamani ukutane siku na kiboko yako,hutakaa upige tena
maneno yakishinda kufanya kazi na mtu bado mtata unafanyaje..makofi tuManeno matamu matamu tu
Shida ni kwamba nimeshayajenga na mwingine.ebu tuyajenge mimi na wewe basi..alafu tuone
tujiibe tu kwan ukinipa atajuaShida ni kwamba nimeshayajenga na mwingine.
Ningekushikisha adabu uache kupiga wanawake
Bby wako ukisikia kajiiba na jamaa mwingine utajisikiaje?tujiibe tu kwan ukinipa atajua
Maneno matamu hayajawahi kushindwamaneno yakishinda kufanya kazi na mtu bado mtata unafanyaje..makofi tu
kuna adabu wanakuwa nayo aiseeni kweli kuna kauoga flani mwanamke anakuaga nacho baada ya kupigwa makofi, mi nilimtia mtu ndosi na mzigo nikapewa, na hadi leo ananiheshimu
Hahahaha nimecheka sanasasa akili zake huyu unazionaje mwenzangu? angekuwa kamili asingekuwa hivyo alivyo
Wana moyo haswa...Eti nipigwe na penzi nitoe,aiseeee wana moyo...
Sasa ukute mzee anamwadabisha mkewe wewe kiperepere eti una mind ushamba huo..!Je utafurahi ukikuta mama yako anakula makofi toka kwa baba yako? Kama sivyo, basi jiepushe kuwapiga wanawake kwani hao ni mama zetu pia ni mama wa watoto wetu.
Ata siye hatuna time na mdangaji aisei..!Wanaume wenye dalili za ubabe hawajawahi kuwa na nafasi kwenye maisha yangu
Ata siye hatuna time na mdangaji aisei..!Wanaume wenye dalili za ubabe hawajawahi kuwa na nafasi kwenye maisha yangu
Ni kweli mkuu kuna watu wamejitengenezea personality fulani ya kiJF sasa itakua soo kutoa ushuhuda wa kupiga manzi ila wanaume wengi wakibongo tunamaliza fyokofyoko na mambata at least once a year tutaleta unafiki tu humu,ila wale wanaopiga ngumi na mateke siwaungi mkonoHao wanaosema kuwa hawajawahi kuwawasha vibao mamanzi wao niwanafki nawanawake wanaosema hawajawahi kupewa mabanzi niwanafki nakama wapo niwachache sana ila wapo ila sio wengi kama wachangiaji wanavyokwepesha ukweli nawala sio ajabu kumlambisha tuvibao mpenz/mke pale anapozingua kwanza huamsha hali mpya yamapenzi namnajikuta mnaanza upya kupendana
Ni kweli kabisa mkuuHao wanaosema kuwa hawajawahi kuwawasha vibao mamanzi wao niwanafki nawanawake wanaosema hawajawahi kupewa mabanzi niwanafki nakama wapo niwachache sana ila wapo ila sio wengi kama wachangiaji wanavyokwepesha ukweli nawala sio ajabu kumlambisha tuvibao mpenz/mke pale anapozingua kwanza huamsha hali mpya yamapenzi namnajikuta mnaanza upya kupendana