Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Ni kweli kabisa mkuu
Sasa mkuu kwamfano mnakuwa ndani alafu mkapishana kauli wewe mwanaume unataka muyamalize chumbani bila majirani kujua naunataka muyamalize kwakuongea tu ila mwanamke anaanza kubwabwaja kwasauti kubwa ili tu majirani wajue kuwa nayeye huwa anakuchamba kila unapompoza kuwa ongea basi kistarabu kwasauti yachini unavyofanya hivyo unamtangazia nani ila ndio kwanza anaongeza sauti sasa mtu wahivyo utamtulizaje bila mabanzi?
 
Aahh!! Nyie wapigeni tu, ila moe kunyenyua mkono eti kumuweka makofi mtoto wa kike sijui naanzia wapi,sijawahi na sidhani km nitakuja kuthubutu kumuweka makofi.. Ukiona mwanamke anakusumbua au anakuzingua mpaka unamkata makofi ujue kuna sehemu unakosea sana, kuna gap inabidi iwepo kabla ya makofi ambayo mwanamke akikuvuruga ikifika steji hiyo anajua huyu kweli nimemvuruga, mwenyewe anakiwa na adabu, humuweki makofi ila ni km umemuweka makofi.. Katika ujana wangu wote wa kuruka ruka sijawahi kumtia mwanamke mabanzi wala kumtishia kuwa nitampiga.
 
Yupo mmoja juzi jmosi nimemchapa nikaona anareact kwa kunikwida shati,aisee alikula mikanda ya kutosha...

NB:sinaga mkono wa kupigana na mwanamke ila kwa ilikuwa hamna zaidi kifinyo ili awe na displine
Mmh. Haya bana Swahiba.

Niulize tu kwani huwa hakuna njia nyingine ya kutatua tatizo zaidi ya kipigo?
 
Mimi nakumbuka nilizinguana namtoto mmoja hivi wakihaya eti akaniambiaje nitakuanzishia timbwili laasha ngedere nikajiuliza hivi huyu mwanamke ananichukuliaje nikahisi kama kanidharau sana nikaona kainama chini kachukua chupa yasoda akaipasua chini ikatoa vipande viwili kimoja akanipa nakingine akabaki nacho akaniambia tupigane nikaona huu ufala badala atengeneze amani anatengeneza vita nilichokifanya nikakitupa kile kipande chachupa uvunguni alafu nikamwambia haya Fanya unachoweza nikaona ananivamia nachupa yake ndio nilimshika nikamchapa mabanzi mpaka akaomba pooo toka siku hiyo ajawahi nipiga mkwara wakiboya niheshima tu kwenda mbele

In short kuna baadhi yawanawake ukiwachekea ipo siku utakutwa maiti
Ila mpaka anafikia huko ilikuwaje.. Aidha ulimuendekeza ama ana tabia hii tokea huko...
 
Mimi nakumbuka nilizinguana namtoto mmoja hivi wakihaya eti akaniambiaje nitakuanzishia timbwili laasha ngedere nikajiuliza hivi huyu mwanamke ananichukuliaje nikahisi kama kanidharau sana nikaona kainama chini kachukua chupa yasoda akaipasua chini ikatoa vipande viwili kimoja akanipa nakingine akabaki nacho akaniambia tupigane nikaona huu ufala badala atengeneze amani anatengeneza vita nilichokifanya nikakitupa kile kipande chachupa uvunguni alafu nikamwambia haya Fanya unachoweza nikaona ananivamia nachupa yake ndio nilimshika nikamchapa mabanzi mpaka akaomba pooo toka siku hiyo ajawahi nipiga mkwara wakiboya niheshima tu kwenda mbele

In short kuna baadhi yawanawake ukiwachekea ipo siku utakutwa maiti
Aisee sometimes mnapataga MAKAHABA na sio wanawake wa kawaida aisee.
 
Back
Top Bottom