mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Utakua Mzee Mwanakijiji mkuu,hahahsisemi Ng'o..hahahhaha...huwez jua..na mm ni mtu maarufu humu, jukwaa lile la siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua Mzee Mwanakijiji mkuu,hahahsisemi Ng'o..hahahhaha...huwez jua..na mm ni mtu maarufu humu, jukwaa lile la siasa
Swahiba ilikuwa hamna namna,huyo dada ni mzazi mwenzangu ss hio juzi kanikuta nimekaa mahali halafu naumwa anaanza kuniletea habari zake "ohh leo nataka nijue unaishi wap,mara leo ama zangu ama zako"mbaya zaidi nimetoa sim mfukoni niwasiliane si akaipokonya kumnyan'ganya si ndio akanikwida shati,sikuwa na namna zaidi ya kumpiga kibao si na yy akataka kurudisha nikaona sio wa kumpiga ngumi nikavua mkandaMmh. Haya bana Swahiba.
Niulize tu kwani huwa hakuna njia nyingine ya kutatua tatizo zaidi ya kipigo?
hapana Mkuu..Yule wanasemaga ni Dr. Slaa etiUtakua Mzee Mwanakijiji mkuu,hahah
hahahahahha...mabanzi mazuri sanaKutukana na mwanamke aipendezi atu kumzalilisha adharani mbele ya watoto au Yoyote. Binafsi nilisemaga sipigi mke/siruhusiwi kwanza ila Kuna wakati atakuletea chokochoko Aisee funga mlango MABANZI MANNE AU MATANO mazuri ya Mashavu kwa MWAKA Hayatamuua kwanza ni mazuri kwa afya yake .tukiwalegezea tutakuwa maboya
Utakua Umemuoa Jamaa! HongeraMi nna kiburi jaman,nipigwe nnaweza nisiongee mwezi mzima
kaoa huyoUtakua Umemuoa Jamaa! Hongera
Exactly 100%trueMimi juzi tuu,mwanamke wangu nilikuwa namuelekeza kuwa Mama yangu hapendi baadhi ya vijitabia vyake,. Heeh si akaanza kuniwakia huku akisema mama yangu amezidi kumfatilia ki ukweli hata sijui ilikuwaje nilijikuta nimempa kofi la kichwa mpaka akazima kama robo saa,ingawa nilijisikia vbaya sana kumpiga,ila nilimuambia anapomuongelea mama yangu atumie hekima sana,tukaelewana maisha yanaendelea vzuri tuuh,
So kuna wakat wanawake wawe wanaangalia sana midomo yao,ili kuepuka vpigo vya bila kutarajia na hasa kwa sisi ambayo kupiga wanawake sio tabia yetu!!!!!!*
SafiSwahiba ilikuwa hamna namna,huyo dada ni mzazi mwenzangu ss hio juzi kanikuta nimekaa mahali halafu naumwa anaanza kuniletea habari zake "ohh leo nataka nijue unaishi wap,mara leo ama zangu ama zako"mbaya zaidi nimetoa sim mfukoni niwasiliane si akaipokonya kumnyan'ganya si ndio akanikwida shati,sikuwa na namna zaidi ya kumpiga kibao si na yy akataka kurudisha nikaona sio wa kumpiga ngumi nikavua mkanda
kabsa..uwanja wenu huuNa tulio wahi kufumuliwa mangumi na wame zetu tunaruhusiwa kuchangia???
Hahaa!!! Mkuu ngumi nane nyingi Sana utakuja upate kesi siku nyingineMimi mke wangu amabe kwasasa tumeshaachana, siku moja alizidisha dharau...aisee nilimpa kichapo hadi akajisaidia haja kubwa. Kwanza nilimkaba koo, nikawa naminya (akitoa mimacho kama anakata roho) nalegeza, naminya tena...halafu naachia, kisha akal ngumi za chemba kama 8 hivi, akashindwa hata kulia, ile ananishangaa shangaa nikararua na kofi moja (lile la mikono miwili, yaani shavu la kulia na la kushoto kwa mpigo)....mtoto akazima, nikaita majirani...tukakuta amepandisha maruhani, ikabidi Ustadhi aitwe...baa ya kufanyiwa sarah akazinduka, nikafukuza.
RuksaNa tulio wahi kufumuliwa mangumi na wame zetu tunaruhusiwa kuchangia???
huyu jamaa muuaji aisee nane nyingi sana..usimpige mpka avimbe..mpe vikofi vya kisela tuHahaa!!! Mkuu ngumi nane nyingi Sana utakuja upate kesi siku nyingine
sasa huyo nae ni mwanamke? hebu tutake radhi wanawakeMimi nakumbuka nilizinguana namtoto mmoja hivi wakihaya eti akaniambiaje nitakuanzishia timbwili laasha ngedere nikajiuliza hivi huyu mwanamke ananichukuliaje nikahisi kama kanidharau sana nikaona kainama chini kachukua chupa yasoda akaipasua chini ikatoa vipande viwili kimoja akanipa nakingine akabaki nacho akaniambia tupigane nikaona huu ufala badala atengeneze amani anatengeneza vita nilichokifanya nikakitupa kile kipande chachupa uvunguni alafu nikamwambia haya Fanya unachoweza nikaona ananivamia nachupa yake ndio nilimshika nikamchapa mabanzi mpaka akaomba pooo toka siku hiyo ajawahi nipiga mkwara wakiboya niheshima tu kwenda mbele
In short kuna baadhi yawanawake ukiwachekea ipo siku utakutwa maiti
Yap, Sasa amempiga mpaka kajinyeahuyu jamaa muuaji aisee nane nyingi sana..usimpige mpka avimbe..mpe vikofi vya kisela tu
we utakuwa mkurya, na hizo tabia ni za huko huko kwenu sisi wengine hatujui kupigwa na mwanaume au kufokewa kukojeHao wanaosema kuwa hawajawahi kuwawasha vibao mamanzi wao niwanafki nawanawake wanaosema hawajawahi kupewa mabanzi niwanafki nakama wapo niwachache sana ila wapo ila sio wengi kama wachangiaji wanavyokwepesha ukweli nawala sio ajabu kumlambisha tuvibao mpenz/mke pale anapozingua kwanza huamsha hali mpya yamapenzi namnajikuta mnaanza upya kupendana
Yaani huyu Nandi?Je utafurahi ukikuta mama yako anakula makofi toka kwa baba yako? Kama sivyo, basi jiepushe kuwapiga wanawake kwani hao ni mama zetu pia ni mama wa watoto wetu.