Aahh!! Nyie wapigeni tu, ila moe kunyenyua mkono eti kumuweka makofi mtoto wa kike sijui naanzia wapi,sijawahi na sidhani km nitakuja kuthubutu kumuweka makofi.. Ukiona mwanamke anakusumbua au anakuzingua mpaka unamkata makofi ujue kuna sehemu unakosea sana, kuna gap inabidi iwepo kabla ya makofi ambayo mwanamke akikuvuruga ikifika steji hiyo anajua huyu kweli nimemvuruga, mwenyewe anakiwa na adabu, humuweki makofi ila ni km umemuweka makofi.. Katika ujana wangu wote wa kuruka ruka sijawahi kumtia mwanamke mabanzi wala kumtishia kuwa nitampiga.