Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Hahah jamaa hawachelewi kusema ooh mi demu akiniwakia namuwekea ule wimbo ya I WILL ALWAYS LOVE U-WHITNEY HOUSTON kama dedication baada ya muda hasira zitamuisha ananipa na tunda,bla bla bla kibao mkuu,hahah
Hahahahahhahhaaaaaaa
 
Sitaki kujaribu,hiki kiganja changu nikiammua kuwasha mwanamke kofi lazima apate kizunguzungu,ndio maana nilishajiapia sitakuja kuchapa kofi mwanamke nisije kupata kesi bure.There are so many treatments that you can do to a woman just to punish her,and mind you some of them are so hurting than slapping her...
Ni kweli mkuu ,kuna njia mbadala za kumwadibisha mtu na akaadabika bila ya kutumia kipigo,afu kumpiga mtu unamfanya awe muoga tu na siyo kwamba amekua na heshima. Ila nawaza kwa sauti kwani mkuu una kiganja cha chuma?[emoji15] [emoji119]
 
Mimi mke wangu amabe kwasasa tumeshaachana, siku moja alizidisha dharau...aisee nilimpa kichapo hadi akajisaidia haja kubwa. Kwanza nilimkaba koo, nikawa naminya (akitoa mimacho kama anakata roho) nalegeza, naminya tena...halafu naachia, kisha akal ngumi za chemba kama 8 hivi, akashindwa hata kulia, ile ananishangaa shangaa nikararua na kofi moja (lile la mikono miwili, yaani shavu la kulia na la kushoto kwa mpigo)....mtoto akazima, nikaita majirani...tukakuta amepandisha maruhani, ikabidi Ustadhi aitwe...baa ya kufanyiwa sarah akazinduka, nikafukuza.
Chai
 
we unazani huwa hatukosani? ss sio malaika mimi nna madhaifu yangu na yeye ana yake ila hawezi kunipiga, yani hawezi
Simsemei, Maana Nyinyi Ndio Mnaojuana, Kukoseana Kupo, Mpaka Mtu Anafikia Hatua Kupiga, Kuna Njia Kazitumia na Hazikuzaa Matunda
 
wanaweke wa hivyo wapo, jamani huwa nabaki kushangaa, nawajua wanawake kama 5 hivi na ni rafiki zangu, huwa nawauliza hivi huo moyo wa kuvumilia kipigo mnautoa wapi? huwa nawauliza hivi mnahisi mkiachana na hao watu hamtapata wanaume wengine au ni vp? mana sio kwamba wana shida ni watu wanaoweza kumudu maisha bila hao wanaume lakini mwee, nimeshaacha hata kuwashauri mana naona napoteza muda tu, wakinihadiithia nabaki kuwaangalia tu,
Mara nyingi hua wanasumbuliwa na mapenzi..mapenzi kitu kingine dear..
 
Haaah nimekumbuka kipindi npo chuo demu wng alinifumania nim cheat sasa nikawa nikamfata kumuomba msamaha si akanipiga kofi aisee nikawa mpole tu nikasema huyu ngoja uku na uku baada ya mda kidogo nami nika kabamba kimeni cheat aisee nilimpiga kipigo cha mbwa koko
 
Hahaaa Kofi moja lilikubadilisha ,lilikua zito kiasi hicho [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] ww acha tu lilinipeleka chini maana nilisikia kizungu zungu mwili ukaishiwa nguvu ila huwez amini tangu siku hiyo sijawahi kubishana nae kwa chochote na hajawahi tena kuinua mkono wake anipige.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sipati picha ulivobaki mpole unashangaa nini hiki , ila sometimes wadada tunakuaje sijui maneno mengi lkn nguvu hamna ,hilo Kofi duuuh[emoji119]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sipati picha ulivobaki mpole unashangaa nini hiki , ila sometimes wadada tunakuaje sijui maneno mengi lkn nguvu hamna ,hilo Kofi duuuh[emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan mdomo wote uliniisha siku ile na kujifanya mwanaharakat wa haki sawa uliisha siku ile ile. Huwez amini upendo wake kwangu uliongezeka kwangu kwa kasi ya 4G.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan mdomo wote uliniisha siku ile na kujifanya mwanaharakat wa haki sawa uliisha siku ile ile. Huwez amini upendo wake kwangu uliongezeka kwangu kwa kasi ya 4G.
Na kumbe kidomo chako kilikua kinakucheleweshea maupendo hayo. Nimepata somo ntajitahidi nisiwe na kidomo domo huhuuu
 
Back
Top Bottom