Tukutane hapa tuliowahi kufanya mapenzi na binamu au ndugu zetu wa karibu

Tukutane hapa tuliowahi kufanya mapenzi na binamu au ndugu zetu wa karibu

Mtoto wa dada yako ni mpwa wako boya ww😂😂😂 binamu ni mtoto wa shangazi yako. Mpwa wako ni sawa na mwanao tu hapo umefeli cause we ni mjomba kwao.
Hivi shangazi ni dada wa baba?
Sasa kwani kumla mpwa shida iko wapi?
Mtoto wa kike wa kaka yako au dada yako anaitwa nani?
 
🤣 uchoyo tu
Na uwe

Nina binamu ni handsome balaa
Tall dark
Kuna wakati akabamba sijui wapi picha yangu, af ilikuwa muda sijaonana nae.
Akanitumia, anasema siku hizi umekuwa.

Nikawa najichekesha na mm
Siku nikamtext.. we dogo upo
Uwii akasema dogo nipe uone
Nilishtukaa 😳😳
Nikajiuliza, huyu mbona hana adabu?
Sikumjibu.. akawa akinitext sijibu, mpk alivyoacha

Ndugu mwingine, tena wa karibu sanaa
Akaleta za kuleta
Jamanii
Nilichefuka nikamchukia, kwake nikakata mguu.
Kumbe akajaga mtongoza na mdogowangu, dogo ye akaenda kusema kwa mama.
Hiyo siku mama ananipigia anauliza flan kakutongoza? Aibu naona kusema,,
mama anasema unaona aibu? Vitu vya hivyo sio vya kuonea aibu, wanaume ni washenzi sana.
Nikamwambia me mkubwa nilishamkatalia na ndio maana unaona hata mazoea nae sina. Namkwepa.
Basi mama akatuambia tu fear men hata kama ni baba ako 🤣🤣🤣

Kiufupi ndugu mimi nehiii
Hata kutongozwa na mtu nisiyemtarajia uwa nachukia 😂😂😂
 
Dah wasamehe tu awo mabinamu zako unajuwa sie wanaume muda mwengine akili huwa zinaruka alafu kichwa cha chini ndio kina kamata usukani unajikuta kila mwanamke unaemuona unamtamani.
 
Back
Top Bottom