Tukutane hapa tuliowahi kufanya mapenzi na binamu au ndugu zetu wa karibu

Tukutane hapa tuliowahi kufanya mapenzi na binamu au ndugu zetu wa karibu

Sasa hapo unasifia au unaniharibia
We nae
Usingekuwa best ningekupa jibu ungeshaa...
Halafu ulichoulizwa sicho ulichojibu...
Sikusifii wala sikuharibii lakini huyo anakupa sifa kama ni za kukusifia ili kukuvuta karibu na uwe Wife Material basi awe na tahadhari aiseeee. We ni more than a Best bhana 😆 😆 😆
 
Unaposoma nyuzi kama hizi ndio unapata picha halisi ya namna jamii yetu ilivyomezwa na Pepo la ngono....... ndio unapata picha ni jinsi gani tunaishi na watu wanaoonekana binadamu......

Wazazi na walezi kuweni makini na wageni mnaowakaribisha kwenye mji wenu...... maana moyo wa mtu ni kiza kinene.........

Jamii ni kama imechanganyikiwa hivi watu kama wamerukwa na akili.....Pepo la ngono limetawala vichwa vyao hata kuizuia akili kufanya kazi yake........

Wanadamu wamekuwa kama wanyama wa porini wameamua kuongozwa na matamanio yao.......


Huko tuendako hali inatisha sana.....
 
Mambo haya ni chukizo mbele ya Mungu, na aishaykataza katika Mambo ya Walawi sura 18 kuazia mstari wasita,msiongozwe tu na tamaa za mwili vijana, ni DHAMBI

MAMBO YA WALAWI 18:5...…

5 Kwa ajili ya hayo mtazishika amri zangu na hukumu zangu; ambazo mtu akizitumia ataishi kwa hizo; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 18:5

6 Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 18:6

7 Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.
Mambo ya Walawi 18:7

8 Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.
Mambo ya Walawi 18:8

9 Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.
Mambo ya Walawi 18:9

10 Utupu wa binti ya mwanao mume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ndio utupu wako mwenyewe.
Mambo ya Walawi 18:10

11 Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni umbu lako, usifunue utupu wake.
Mambo ya Walawi 18:11

12 Usifunue utupu wa umbu lake baba yako; maana, yeye ni jamaa aliye karibu.
Mambo ya Walawi 18:12

13 Usifunue utupu wa umbu la mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako ya karibu.
Mambo ya Walawi 18:13

14 Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi lako.
Mambo ya Walawi 18:14

15 Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.
Mambo ya Walawi 18:15

16 Usifunue utupu wa mke wa nduguyo; maana, ni utupu wa nduguyo.
Mambo ya Walawi 18:16

17 Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanawe mume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.
Mambo ya Walawi 18:17

18 Wala usitwae mwanamke pamoja na nduguye, awe mtesi wake, na kufunua utupu wake, huyo wa pili atakapokuwa yu hai.
Mambo ya Walawi 18:18

19 Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.
Mambo ya Walawi 18:19

20 Usilale na mke wa mwenzio, ukajitia unajisi naye.
Mambo ya Walawi 18:20

21 Nawe usitoe kizazi chako cho chote na kuwapisha kwa Moleki, wala usilinajisi jina la Mungu wako; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 18:21

22 Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.
Mambo ya Walawi 18:22

23 Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko.
Mambo ya Walawi 18:23

24 Msijitie unajisi katika mambo hayo hata mojawapo; kwa maana hizo taifa nitakazozitoa mbele zenu zimekuwa najisi kwa mambo hayo yote;
Mambo ya Walawi 18:24
 
Ina maana wanawake wa humu hakuna hata mmoja ambaye ni binam? Maana sijaona hata mmoja aliyetoa ushuhuda wake jinsi alivyoliwa na binamu yake.

Au mpo ila ndiyo kusema wanaume wana utoto na umama mwingi kiasi hawawezi kutunza mambo au kuacha yapite mpaka wayaropoke?
 
Back
Top Bottom