Tukutane hapa tuliowahi kuibiwa na wanawake guest house

Boogman

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
2,439
Reaction score
5,612
Hahahaa! Inauma ila tamu. Mimi ni driller by profession so hii nchi nimezurura mno Alhamdulilah, kote nilipozurura napanyooshea mikono Moro Town.

Siku hiyo nakula gambe mitaa flani jirani na Msamvu panaitwa Itigi nikaopoa binti. Mmh! baada ya monde sana akanambia tuhamie Yohana Pub tukaenda monde kama kawa, baadae tukaenda lala guest moja inaitwa Paradise nikapiga mashine kama mjukuu wa Mswati.

Kilichiniponza ni kunyonya matiti, mara ckujielewa naamka siku ya pili kitandani niko alone kucheck suruali wallet ipo ila haina kitu zaid ya vitambulisho na kadi ya bank, simu mbili zote hakuna, wenge to the maximum. Nikarudi rum akili zimepaa kiujumla, siku ilikua ngumu sana sikula kabisa.

Jioni washkaji wakanitoa out nikala Konyagi ndogo ndiyo akili ikarudi nikaenda bank nika-draw mzigo nikanunua simu na toka hapo akili zikakaa sawa. Siku hizi nina mbinu za kimafia, siibiwi tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehee...........binafsi sina kisa chochote nasubiri visa vya wadau nivisomee nitegue mtego wa baadae
 
Kukutana huko, mnataka muwakamate wezi au
 
Siku zote unapofika eneo ambalo wewe ni mgeni na unataka kubeba malaya, kwanza tafuta mwenyeji ambaye ndie umfanye kama mdhamini wako, kama vile baamedi, au dj, nk.

Mpe mwenyeji wako kazi ya kukuunganisha na malaya unayemtaka, trust me hataweza kukuibia coz anajua ukimfuata yule mwenyeji wako anaweza kukupeleka mpaka anapoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…