Tukutane hapa tuliowahi kuibiwa na wanawake guest house

Mkuu una mbinu za medani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Boss Dubai Mkenya mmoja (na wanavyopenda ngozi nyeupe) aliwekewa hio kitu na mfilipino, jamaa anaamka asubuhi mfilipino ameondoka na mshahara wa miezi minne kwenye wallet, mkenya alilia vibaya mnoooo. Kuulizia anaambiwa dada mbona anakaribia kutua Manila saa hizi!!! Mkenya hoi, haya mambo yapo kila mahala
 
Braza itigi mademu wachafu wale wa nini umeabisha kambi kwa sisi tunaoijua moro itigi ni kama kimboka buguruni pale ni uchafu sio mademu
 
watu katika ubora wao.....hii mbinu nilishaitumiaga.....halafu kwenye wallet unawka noti bandia kibao...lazima atachomoa hata 2......then kesho yake unaenda same place........
 
Mbinu nzuri sana hii imeshaiokoa na sijawahi ibiwa hata mia. Mbinu nyingine ni kumtafuta taxi driver unamtumia kwenda kwenye maeneo kama matatu. Ila ya mwisho unamwambia akupereke wanakopatikana hao vimwana na yeye ndo anakuwa kuwadi kwa demu uliyeamua kumchukua. Ukishawapereka lodge unamwachia tip. Hutakuja kuibiwa maisha yako yote
 
Kuna haja ya kupewa pole mkuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonge la akili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu za ki hitler
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…