Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Ni kwa zile attributes na vijimambomambo vya kiume ilhali yeye ni ke
Na walivojaaa moshi na arusha sasa!!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Cc Smart911
Umenikumbusha nilishasomaga na mdada mmoja chuo yeye ni mchezaji mpira wa twiga star. Yaani alikuwa ni dume haswa na sikuwahi muona kavaa khanga ni jinsi.
Siku moja nilimkutaga anaongea n mpenzi wake maana mimi napenda ufukunyuzi; aisehh anabembeleza yaani unaweza sema sio yeye.
Ila arusha bana wale wadada unamkuta ana ka-mpododo alafu anajifanya ngumu nyeusi anaweza hadi kukukaba. Hao mi sipendagi mazoea nao kabisaa