Tukutane hapa tuliowahi kuwagegeda mademu wanaojiita matomboy yaani mademu wenye itikadi za kishikaji kishikaji

Ni kwa zile attributes na vijimambomambo vya kiume ilhali yeye ni ke
Na walivojaaa moshi na arusha sasa!!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Cc Smart911

Umenikumbusha nilishasomaga na mdada mmoja chuo yeye ni mchezaji mpira wa twiga star. Yaani alikuwa ni dume haswa na sikuwahi muona kavaa khanga ni jinsi.

Siku moja nilimkutaga anaongea n mpenzi wake maana mimi napenda ufukunyuzi; aisehh anabembeleza yaani unaweza sema sio yeye.

Ila arusha bana wale wadada unamkuta ana ka-mpododo alafu anajifanya ngumu nyeusi anaweza hadi kukukaba. Hao mi sipendagi mazoea nao kabisaa
 
Duh nikikabwa na demu mi navunga tu nampa salute zake fresh
 
Dah, yupo mmoja pale kwa wauza makochi kona ubungo anajifanya tom boi sana, ila anafosi kuwa tomboi maana ana umbo kubwa ila la kike kabisa.
Hivi mkuu unaishi kimara kona? Maana huyo unayemsema nampata vizuri sema ana jamaa yake flani hivi mfupi mnene ndo anamkaza ila demu anafosi kua dume ila mzuri tu yule
 
Duh nikikabwa na demu mi navunga tu nampa salute zake fresh

Huijui roba mbao

ukinigwa nayo alaffu ujambe, nakuhakikishia unajamba kuanzia tumbo, utumbo wote mpaka ini linapita kwa tundu la dawasco.

samahani lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…