Tukutane hapa tuliowahi kuwakimbia wanawake

Tukutane hapa tuliowahi kuwakimbia wanawake

Wala hujakosea wa kule wale wala.matokhii na maparachichi kwa saaaanaaaa

Enhe...hapo penyewe....po utwa masiku lelo ghwa kukaja?mu matengere!Ngughanile fijoo ghee nkikulu ughwe...linga nkyaghie ikyuma angukwegha namanga ubhupina ubhu....
 
Wala hujakosea wa kule wale wala.matokhii na maparachichi kwa saaaanaaaa

Angukupijila amatoki angubhika nikipome!Aukulya na kasokela na kaseke ka mani ..ilyanyungu po nu twisi ututararifu...
 
Enhe...hapo penyewe....po utwa masiku lelo ghwa kukaja?mu matengere!Ngughanile fijoo ghee nkikulu ughwe...linga nkyaghie ikyuma angukwegha namanga ubhupina ubhu....
Hahahahah gwamietu une ngutila uti aukubolha kangi jama!!!hahahah
 
Sina shaka yyt hao walikuwa mademu wa uswazi sana maana ndiyo zao kuja na 'committee'
Mm aliwahi kuja na mama zake wadogo 6 pia akafunga chips za kuwapelekea wazazi wake!Mademu wa Yombo Dovya sina hamu nao
hahahhhh sisi wanawake bwana wameona wamekukomoa
 
Sasa hiyo ni akili au matope, huwa sielewi yaani. Kama hujisikii kutoka mwambie mpenzio na sio kumbebea taasisi
nahisi na mshipa wa aibu umewatoka hivi mtu unaanzaje kwa mpenzi wako hahahh unaenda na group lako yaan navuta picha halaf nacheka mwenyewe
 
nahisi na mshipa wa aibu umewatoka hivi mtu unaanzaje kwa mpenzi wako hahahh unaenda na group lako yaan navuta picha halaf nacheka mwenyewe
Yaani ni kichekesho, mtaongea yenu saa ngapi!!! Yaani ni kutokufikiria kabisaa, hata hao mashost nao hawana aibu kwenda kumkalia mwenzenu yuko na bae wake
 
mkuu unankumbusha uzi flani humu , ndio nyie mkistukizwa magetoni na yule umpendaye anakwambia yuko bored unamwekea Cd ya mziki, akisema hataki cd unawasha feni, haya mapenzi hayana adabu
 
Yaani ni kichekesho, mtaongea yenu saa ngapi!!! Yaani ni kutokufikiria kabisaa, hata hao mashost nao hawana aibu kwenda kumkalia mwenzenu yuko na bae wake
hahahhhh baba wa watu atakua busy tu na simu yake
 
Back
Top Bottom