Tukutane hapa tuliowahi kuwakimbia wanawake

Tukutane hapa tuliowahi kuwakimbia wanawake

Tena anasisitiza kabisa
"Chipi za Mama ziwe na mayao manne lkn za baba yy hapendi mayai mengi"
Na wewe huwa una beba to go Savana za kutosha?
hahahhhh uyo mwanamke wako kiboko amekufanya buzi au
 
Mwaka jana nilikuwa kiwanja uswazi, nipo counter akatokea mdada mzuri sana akawa ananunua bia kwasababu wahudumu walikuwa pungufu, nikamchombeza akaniambia yupo na mama zake wadogo watatu akanunua bia nne, nikambebea mpaka meza yao na nikajumuika nao. Picha likaanza zile bia zilipoisha nikamwita mhudumu awasikilize,bia nne zikageuka bia 1+ savannah 2 na chupa ya st. anna... nilikereka japo nililipa,nikachukua namba nikajikataa. Pozi zingine zinawadiscount wadada.
 
Mkuu apo ulijilengesha mwenyew
 
Hahaa!mkuu complicator acha tu,ukata wa chuo si waujua usipokuwa mbanizi utalia!Nikiwa mwaka huohuo wa 1 nilipata kisanga kingine.Nikiwa hosipitali ya chuo akajitokeza mlimbwende ambaye hakuwa mzawa wa hapa kwetu.Foreina ndivyo tulivyowaita.UMBILE lake kubwa,mrefu kama mlingoti.Kwa kumuangalia ni kama alikuwa na asili ya msumbiji hivi...utamaduni wa mavazi yake ulikiacha kinywa changu wazi!Alivaa kigauni kifupi chenye matirio ya taulo na juu alivaa kikaushi chepesi huku matiti yake madogo yakipepewa na kiupepo mwanana!Nikatamanj ainame nizichungulie titi,hakufanya hivyo nikalaumu ukatili wake!Mimakalio mikubwa ndani ya kivazi na lile umbile lake jamani nikakumbwa na fadhaa.Akanisogelea,pumzi zikashindana,kijasho chembamba kikanichuruzika kwapani na kutoa harufu kali ya kuudhi!Hakika nilihamanika.Nikatamani kufanya nae tendo la ngono tena pasi mutumia kondomu!Shetani baba wa maovu akanivaa.Kitu mfano wa mzizi wa kisamvu kikamea maungoni!Nikalowa chapachapa!Manii zilichuruzika...Nikachutama kaumu isishangae uume ulivyokosa staha....akachombeza..."hello uncle can show me the place where foreigners are treated"?Nikchanganyikiwa!nilimwelewa lakini ntamjibuje?mimi mwl.wa kiswahili? nikajitutumua " sorry me also is my first time to come here.I don't know of the whole process of getting treatment here...kisha nikateleza fasta!Nilisikitika tu kuitwa anko...ukali wa maisha ulifanya nionekane mtu mzima!wana rumu walicheka sana...kila nikikumbuka naishia kucheka!
Hahahaaaa unajua sana kuandika
 
Hahahaaaa unajua sana kuandika

Hahaa!Nashukuru kwa pongezi zako mkuu Nyanda Dindai!Mimi ni mwl.wa somo la sanaa(kiswahili )ingawa serikali inapiga chenga kuniajiri.Ni mtunzi pia wa riwaya fupifupi za kubuni na vimbwanga...pitia nyuzi zangu utakutana nazo!.
 
Sawa mkuu ntaenda kuziangalia
 
Back
Top Bottom