Tukutane hapa tuliowahi kuwakimbia wanawake

Tena anasisitiza kabisa
"Chipi za Mama ziwe na mayao manne lkn za baba yy hapendi mayai mengi"
Na wewe huwa una beba to go Savana za kutosha?
hahahhhh uyo mwanamke wako kiboko amekufanya buzi au
 
Mwaka jana nilikuwa kiwanja uswazi, nipo counter akatokea mdada mzuri sana akawa ananunua bia kwasababu wahudumu walikuwa pungufu, nikamchombeza akaniambia yupo na mama zake wadogo watatu akanunua bia nne, nikambebea mpaka meza yao na nikajumuika nao. Picha likaanza zile bia zilipoisha nikamwita mhudumu awasikilize,bia nne zikageuka bia 1+ savannah 2 na chupa ya st. anna... nilikereka japo nililipa,nikachukua namba nikajikataa. Pozi zingine zinawadiscount wadada.
 
Mkuu apo ulijilengesha mwenyew
 
Hahahaaaa unajua sana kuandika
 
Hahahaaaa unajua sana kuandika

Hahaa!Nashukuru kwa pongezi zako mkuu Nyanda Dindai!Mimi ni mwl.wa somo la sanaa(kiswahili )ingawa serikali inapiga chenga kuniajiri.Ni mtunzi pia wa riwaya fupifupi za kubuni na vimbwanga...pitia nyuzi zangu utakutana nazo!.
 
Sawa mkuu ntaenda kuziangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…