Eheee, yaani hata kwenye Malls kubwa, wanauza tuu gharama ila bidhaa in zile zile za mtaani, kwa kweli bongo vitu OG bado sana.Wafanyabiashara wa nguo na viatu wanatuletea vitu vya kipuuzi kweli..Yaani hata ukiingia kwenye hizi mall kubwa unapata vitu vya ajabu..yaani hata kupata boxer za pure cotton ni mpaka uwe mji unaujua vizuri
hapo kuna kimoja cha kariakoo elfu 80 na kingine travis scott og kinagonga usd 300 na ushee
View attachment 1431260View attachment 1431269
Vitu OG vinahitaji mtu upasuke...hapo hakuna shortcut ni kutoa pesa tu...hizo mtumba ni kujaza namba za mafundi kwenye phonebook yako tu...mara fundi redio..fundi tv..fundi simu..fundi friji..fundi maiko nk
Mkuu umetisha sana je ni machimbo gan kwa hapa Bongo, Arusha n. K tunaweza pata vitu OG hasa viatuBinafsi nipo sensitive sana na vitu OG,
Km sina hela bora ninunue mtumba kuliko fake mpya...
N mwezi sasa nilikua nabishana na jamaa yangu kuhusu Yale maviatu yanayouzwa town sikuhizi kwa 80000-150000, nikamwambia kuliko ununue haya madude bora utoe 50000 ukachukue mtumba karume.
Ile sio pure leather ni synthetic leather.
Akadharau
Kanunua lina week ya tatu lishakua bwanga,
Anavaa na soksi mbili.
Nimemwambia bado kufumuka.
mpya au mtumba!? specify ili wakusaidie vizuriMkuu umetisha sana je ni machimbo gan kwa hapa Bongo, Arusha n. K tunaweza pata vitu OG hasa viatu
Yoyote mkuu cha muhimu ziwe makini tu
mkuu ingependeza kama tunngepata location, mawasiliano ikiwezkana na picha pia kama utawezaMoshi kuna jamaa anaitwa bboy. Kwake unapata brand new na mtumba pia ila vitu ni og. Nguo na viatu
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ingependeza kama tunngepata location, mawasiliano ikiwezkana na picha pia kama utaweza