Tukutane hapa tunaopenda bidhaa halisi yaani original na kwa bei rahisi

Tukutane hapa tunaopenda bidhaa halisi yaani original na kwa bei rahisi

Wafanyabiashara wa nguo na viatu wanatuletea vitu vya kipuuzi kweli..Yaani hata ukiingia kwenye hizi mall kubwa unapata vitu vya ajabu..yaani hata kupata boxer za pure cotton ni mpaka uwe mji unaujua vizuri
Eheee, yaani hata kwenye Malls kubwa, wanauza tuu gharama ila bidhaa in zile zile za mtaani, kwa kweli bongo vitu OG bado sana.
Kitu OG kina ladha yake acha kbsaa.
 
Kweli mkuu hizo mambo za mtumba zilinikuta pia
Vitu OG vinahitaji mtu upasuke...hapo hakuna shortcut ni kutoa pesa tu...hizo mtumba ni kujaza namba za mafundi kwenye phonebook yako tu...mara fundi redio..fundi tv..fundi simu..fundi friji..fundi maiko nk
 
Binafsi nipo sensitive sana na vitu OG,
Km sina hela bora ninunue mtumba kuliko fake mpya...

N mwezi sasa nilikua nabishana na jamaa yangu kuhusu Yale maviatu yanayouzwa town sikuhizi kwa 80000-150000, nikamwambia kuliko ununue haya madude bora utoe 50000 ukachukue mtumba karume.

Ile sio pure leather ni synthetic leather.
Akadharau
Kanunua lina week ya tatu lishakua bwanga,
Anavaa na soksi mbili.
Nimemwambia bado kufumuka.
Mkuu umetisha sana je ni machimbo gan kwa hapa Bongo, Arusha n. K tunaweza pata vitu OG hasa viatu
 
Kuna ndugu yangu yupo uk nilimuomba aninunulie timberland wadau wanayajua haya mabuti aiseee ile pesa ukiileta kibongobongo ni laki tatu ila sasa ingia maduka ya kibongo utaambiwa og kinauzwa laki na nusu... Mmmh
 
Back
Top Bottom