reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Eheee, yaani hata kwenye Malls kubwa, wanauza tuu gharama ila bidhaa in zile zile za mtaani, kwa kweli bongo vitu OG bado sana.Wafanyabiashara wa nguo na viatu wanatuletea vitu vya kipuuzi kweli..Yaani hata ukiingia kwenye hizi mall kubwa unapata vitu vya ajabu..yaani hata kupata boxer za pure cotton ni mpaka uwe mji unaujua vizuri
Kitu OG kina ladha yake acha kbsaa.