Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Hahahahahahha 😂 😂 ,nimecheka kishenzi, kweli mapenzi qmmke!! Dah Ila nimecheka Sanaa isee
 
Sio kweli kwamba wanawake wanawahi kuchoka, wako Wanaume pia wanawahi kuchoka, we kama mwanaume una-gundu na wanawake ukubali tu mambo ya kujifariji unatakiwa uachane nayo unakubali uhalisia maisha yanaendelea
 
Me nilichapiwa asee, Boss wake alijua kunikomoa sema uzuri ni kwamba boss mtu hakujua kama pisi ina mtu maana pisi yenyewe ndo ilijilainisha, After kugundua maumivu yake niliona ni kama hata kufiwa na mzazi hayafiki... Kuvunja moyo wa mtu ni kubaya sana asee kama ningekosa busara ningeshafanyaga maamuzi ya hovyo... ila namshukuru Mungu na Kampani za watu positive alizonipati zilisaidia kubadili mind hadi sasa nasikia kinyaa kuhusu binti yule🤮
 

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kwani ni kweli huna mbele wala nyuma???
 

Umeandika kwa hisia
Pole sana.
 
Mbona kama huyu manzi namfahamu..hii story ilitukia wapi mwamba?

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna ex wangu aliolewa ila siku moja kaja Dar nikaomba mbususu akakubali. Tuko kitandani ndo nikagundua anachati na mchepuko wake.... iliniuma sana kwanini anisaliti mimi mchepuko wake wa kudumu? Hata mapenzi sikufanya hiyo siku.
😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…