Naomba picha ya balbuNipe bulb hizo nimchore mtu[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba picha ya balbuNipe bulb hizo nimchore mtu[emoji28]
Hahahahahahha 😂 😂 ,nimecheka kishenzi, kweli mapenzi qmmke!! Dah Ila nimecheka Sanaa iseeMimi ilinikuta pia. Kwanza siku hiyo inaanza nilimcheka sana jamaa yangu kwa kumlilia demu. Jioni nami yakanikuta, nikaona aibu nikaenda kulilia chooni wana wasijue..kumbe ngashtuka wakanifuata kulekule aisee walinicheka sana siku ile. Jamaa wakanambia we ulisema huwezi kulia kisa demu na jana umemcheka mwana.
Toka hapo nikawa nimekua komando kipensi sina wivu wala siumii kiboya.
Sio kweli kwamba wanawake wanawahi kuchoka, wako Wanaume pia wanawahi kuchoka, we kama mwanaume una-gundu na wanawake ukubali tu mambo ya kujifariji unatakiwa uachane nayo unakubali uhalisia maisha yanaendeleaWewe ni komandoo,upo very matured.....mi hata niwe na hasira vipi ila nimegundua usipokua na visasi,unaishi kwa furaha sana,........halafu kingine wanawake wanawahi kuchoka.
Kuna mabinti wanaweza kukusumbua,akitoa mimba mbili tu ama kuzaa tu,hata upewe bure huwezi kukubali.
Kama mwanaume,wekeza kwenye:-
1.Kutafuta ridhiki
2.Afya
3.Chakula Bora
4.Mazoezi
5.Utalii wa hapa na pale
6.Kusoma vitabu na kujifunza vitu vipya hasa vya sayansi na technolojia
Nakuhakikishia utakua na uwezo wa kua na mwanamke yeyote yule na hata akiondoka kwa jeuri,mukikutana tena unamsaidia tu kiroho safi na hata nyege nae huna [emoji16][emoji16]
Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kwwli ukisikia mwanaume mwenzio kaua mwanamke wakati wanagombana wee elewa tuu jamaa alepwa maneno makali sana.
Yaani kweli ata kama umemchoma mtu ndio useme "huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni" [emoji24][emoji24][emoji24] dah inauma sana.
Ubabe ubabe ududu ududu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza uchokozi wako na wewe. Mbususu yenyewe umeninyima jana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kwani ni kweli huna mbele wala nyuma???
Umeanza uchokozi wako na wewe. Mbususu yenyewe umeninyima jana
Me nilichapiwa asee, Boss wake alijua kunikomoa sema uzuri ni kwamba boss mtu hakujua kama pisi ina mtu maana pisi yenyewe ndo ilijilainisha, After kugundua maumivu yake niliona ni kama hata kufiwa na mzazi hayafiki... Kuvunja moyo wa mtu ni kubaya sana asee kama ningekosa busara ningeshafanyaga maamuzi ya hovyo... ila namshukuru Mungu na Kampani za watu positive alizonipati zilisaidia kubadili mind hadi sasa nasikia kinyaa kuhusu binti yule[emoji2961]
Wee njoo ucheze na de libolo bwanaNimewaza kama hauna mbele mbususu nakupa ya kufanyaje sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]embu tafuta mbele kwanza
Mkuumtoto mzuri
Zamu ya wake wenzangu jaman wape na waoWee njoo ucheze na de libolo bwana
Mnakuja wote tunapiga foursome😜Zamu ya wake wenzangu jaman wape na wao
Mambo kama hayo ndo napendagaMnakuja wote tunapiga foursome😜
umenisusaMkuu
Kmbe unayapenda eeehMambo kama hayo ndo napendaga
Haya panga siku bas utuambie tuje
Mbona kama huyu manzi namfahamu..hii story ilitukia wapi mwamba?dah ni hatar sana mm nimewah kua namsubiria mazi ananiambia anakuja sasa ile wakati namsubir akaniambia atachukua kama dakik 20 hiv na hakua anakaa mbal sana na mm nikaona bora nitoke kidogo nifuate vocha dukan kidogo namuona kweny boda na mshkaji mmoja alf boda inapoelekea sipaelew nikasema ngoja nisubir dakik 20 zilivyopita napiga sim haipatikan nikanyapia ad kwa huyo mwamba maana nilikua napafaham nikakuta anatoka nje ya geto la huyo jamaa alf ni kama walikua wanazozan akarud ten nilisubir ad saa 6 usik ila hakutoka nikapata hasira sana yan nikaenda kulala japo usingiz ni kama haukuwepo kabisa yan kesho yake namchek ananiambia sor nilifichiwa sim na rafik zang nikashindwa kukuchek alf nikatumwa na boss mahal kalikua kanafanya kaz supermarket bac nikavunga kama sijui nikakaita geto ile kamefika tu nikakauliza jan kwa flan ulienda kufanya nn akashtuka kwel yan akakubal asee nilichomfanya niliingia gharama ya lak na nusu kumtibia yan lkn baada ya hapo aliacha ad kaz akaondokaga kabisa nasikia yupo moro sik iz
Mimi?? Wewe??umenisusa
😂 😂 😂Kuna ex wangu aliolewa ila siku moja kaja Dar nikaomba mbususu akakubali. Tuko kitandani ndo nikagundua anachati na mchepuko wake.... iliniuma sana kwanini anisaliti mimi mchepuko wake wa kudumu? Hata mapenzi sikufanya hiyo siku.