Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

We're Ni muongo muongo sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
These is jokes not serious [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka Hadi nimeamsha mtot

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Watamuona wapi mkewangu
 
Pole mkuu! Miaka 3 bila simu anawezaje kuishi mkuu au ni mama wa nyumbn?
 
Ni maumivu makali sana kwa kweli.
 
Mdada katongozwa na mume wa mtu kamkubalia kambikiri, kisha akaja kuomba ushauri kwangu, kuna mtu anampenda na fyoko fyoko zingine huku mapenzi yakiendelea mie najua kila kitu.

Nikamwambia kwa kifupi hautaolewa naye, unapoteza muda naye tu na ukiendelea naye utachagua kuzaa naye au kutoa mimba. Haikupita muda mimba ikatolewa kweli, maana jamaa hakuwa tayari kuzaa nje.

Mdada akawa ni wakunishangaa huyu anayajuaje haya ?! Akili zikaanza kumkaa sawa, ishu ikawa kujilengesha kwangu kujitongezesha, akitarajia 100% aishi na mie. Nioe mimi nakupenda wewe, NO kule ndipo upendo wako upo pita na 120. Hahah mtu anadai mpka mimba. Nikawaza ile mimba ingekuwa yangu ndio bye bye hiyo mdada kapata kadi ya ndoa ya buuuuuure, asingeitoa kamwe.

Njaa haiui kirahisi kama kukosa Maarifa. Yule akili ka kuku… Bahati yangu tu sikuwekeza hisia kwake huenda ningemfanya kitu kibaya sana.

Endelea na maisha yako huko ulipo we mdada, na endelea kujitangazia upo na mie shuwain we.
 
Well, and best comment ever
 
Joka jeusi ana akili mingi japo nilishamzingua kuhusu ule uzi wake nlikua sipo sahihi.
ulikosea saana mzee ...sasa nadhani unamuelewa jamaa aliongea ukweli mchungu ambao wanaume wengi hatutaki kuuskia sababu tayari tushaoa wanawake ambao sio wake zetu (wasio na bikra) ila ukikaaa peke ako tafakari utapata ukweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oyaa mzee hii sio mota kweli??
 
Bàdo ninamaumivu rafiki yangu best tuna miaka 13 ya urafiki,. Katembea na mume wangu mmenitonesha kidonda
Maumivu ya nini tena we bidada?
Mpange huyo shosti yako siku moja mpige 3somes, nakuhakikishia utajilaumu sana kwa nini umechelewa kumshirikisha huyo best yako kufaidi utamu.
Kizuri kula na shosti yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…