Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

I feel you Chief, pole sana brother. Mungu akupe subra
 
Tupe feedback mkuu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah nmecheka sana ila jf raha sana aisee
 
Kwani hapo mwanaume alikuwa na kosa gani? Si demu alienda mwenyewe! Ungesema alibakwa sawa. Sasa,mpaka anamuoa,huoni wewe ndo ulikuwa mpango wa kando! Number moja alikua muoaji,wewe ulikuwa tu kwa ajili ya starehe. Japo kushea kale kakolombwezo ni hatari na inauma aisee. Sikucheki lakini
 
Ilikuwaje mkuu? Alimbaka au walipatana tu kupeana?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Dah so sad mkuu ndio mana wanasema wanawake si wa kuwaamini kabisa anaweza kwambia kuwa mtu ni kaka yake kumbe ni bwana yake kweli nimeamini kupitia komenti yako
 
Ulikosea mwana. Ungempiga demu wake pia.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh baba yako ni nyoko sana yani anamtomba demu wako bila wasiwasi wowote
 
Story teller
 
Mimi sijawahi karibisha mfanyakazi nyumbani kwangu. Hatunaga tabia za kujua maisha ya wafanyakazi wenzetu.
 
Kuna ex wangu aliolewa ila siku moja kaja Dar nikaomba mbususu akakubali. Tuko kitandani ndo nikagundua anachati na mchepuko wake.... iliniuma sana kwanini anisaliti mimi mchepuko wake wa kudumu? Hata mapenzi sikufanya hiyo siku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…