Inawezekana nimeshawahi kuchapiwa......
Ila hii ni mchapio uliotokea kwa rafiki yangu.....
Miaka ile baada ya kuanza ajira, nikiwa naishi mitaa ya Kijitonyama, mimi na rafiki yangu wa muda mrefu sana tulikuwa majirani kabisa.
Siku ya jumapili nikiwa nawaza niende kuzurura wapi jamaa akanipigia simu kuwa niende kwake ana jambo anataka nimpe ushauri.
Nilimkuta jamaa ana mchanganyiko wa huzuni na hasira; nikauliza kumetokea nini?
Jamaa akaanza kunihadithia kuwa amechapiwa demu wake asubuhi hiyo...Nikashtuka na kuuliza, vipi umefumania? akasema hapana. Nikauliza tena, sasa wewe umejuaje kuwa amekusaliti?
Yaliyotokea kwa mujibu wa maelezo ya jamaa ...
Alimpigia simu huyo demu wake jumamosi usiku kuwa aende jumpaili ili wawe wote weekend kufurahia mapenzi yao, binti akakubali kuwa angefika hapo saa mbili asubuhi.
Jumapili imefika, binti akamwambia jamaa kuwa atachelewa kidogo hivyo atafika saa nne badala ya saa mbili. Jamaa akafanya maandalizi yote ikiwa kuweka mazingira mazuri na kuandaa chakula ili aje kufurahia na mpenzi wake.
Kufikia saa nne kweli binti akafika na jamaa akampokea kwa bashaha zote; katika kukumbatiana na kubusiana wakajikuta wameshaanza foreplay, jamaa akapeleka mkono tumboni ili aelekee kwenye raha za dunia, akapitisha mkono kwenye kitovu akakutana na utelezi...
Akaendelea chini zaidi akaona utelezi unaongezeka, akaingingiza mkono kwenye chupi ndipo alipokutana na utelezi mwingi zaidi.
Kwa kuwa hiyo ilikuwa hali ngeni kwake, akaamua kumlaza binti na kumvua sketi na kisha chupi....hakuamini macho yake yaani ni mzigo wa maniii(sperm) ....
Kiufupi binti aliliwa muda mfupi kabla ya kuja kwa jamaa....
Kumuuliza binti, akasema ''I am sorry''
Jamaa akamwambia tu kuwa aondoke.......