Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Mtu mzima na akili zake. Mbususu ni yake. Akiamua kwenda kuchapwa huko mimi ni nani mpaka niumie? Acha achapwe huko apate na mayutiai pengine akili zitamkaa sawa ila kuumia sitaumia ng'o!

Na ni nadra sana kuwa na mwanamke wa peke yako hapa duniani. Kuchapiwa utachapiwa tu hata ufanyeje!

 
Kwahiyo dogo ulikataa urafiki ane lkni demu Bado unaye wewe kiboko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpwa I miss u huonekani
 
Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
 
Ulimkosea sana huyo dada hakua na Kosa aisee
 
Mie ndio wale nusu dakika wazungu hao mpakani,. Mpaka warudi ni mpaka ugonge hyo passport lisaa huko, napo dk chache hao tena mpaka tupige half time tena.

Kwenye pesa sina hata la kusema ndio wanafwata.

Ila sasa wapo wanaoniganda na visekunde vyangu vichache.

Kuchapiwa ni kuridhika tu kwa mchapwaji.
 
Duuh niwe mkweli nimechapiwa sanaaa sina idadi, japo si haba mbususo nazipata na sina maajabu sana, Nina stamina tu power Kali, lasting sana take longer 30-60mins, size kawaida tu 5... inches ila basi tu tuache hasira tuyaishi maisha Kwa raha tu, kila mtu na mnyonge wake tukubali hio
 
Atar me nilipigwa dem niliyekuwa nampenda cha ajabu nilikuwa nimeganda sikusikia maumiv yoyote
Nimempangia sehem nikisepa home saa 7 jamaa anamvusha anaenda kula saa 11 anarudi
Nikaja mhanishia apartment mpya zina camera halaf ye bila aibu akawa anatoroka vile vile
Nikamnasa nilisamehe tu but moyo haukuuma sijui kwa sababu nilikuwa simuamin tangu tunaanza mahusiano maana alikuwa pisi sana so milikuwa najua siwez kula mwenyewe
 
Inatakiwa muendelezo hichi kisa chako
 
Una moyo sana na kupigwa ulipigwa😂😂 ya kweli haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…