Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo dogo ulikataa urafiki ane lkni demu Bado unaye wewe kiboko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaa aisee Mimi nikichapiwa na dogo ambaye alikua rafiki yangu na no work mate na alimchapa manzi yangu sebilen kwangu huku mtoto wangu wakiwa wamemlaza pembeni ya sofa.
Kuna watoto walikua nje wanapiga chabo wakaja nistua nilipo . Kufika home jamaa Kesha maliza mchezo na yupo pale pale anajifanya anacheki movie.
Nilimbana yuele demu baadae akakiri kua kweli. Niliumia Sana mpaka leo tuliachana na yule dogo si marafiki tena .
Hahahaaa!!Nmependa hapo ulimpiga kwenzi tatu za afyaa..japo inapunguza maumivu kimtindo
Mpwa I miss u huonekaniMtu mzima na akili zake. Mbususu ni yake. Akiamua kwenda kuchapwa huko mimi ni nani mpaka niumie? Acha achapwe huko apate na mayutiai pengine akili zitamkaa sawa ila kuumia sitaumia ng'o!
Na ni nadra sana kuwa na mwanamke wa peke yako hapa duniani. Kuchapiwa utachapiwa tu hata ufanyeje!
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
Nipo mpwa. Jana nilivizia selfi yako kimya kimya usiku sikuipata. Natumaini uko poa mpwa.Mpwa I miss u huonekani
Nikopoa sana hofu kwako tu na mchumbaangu vipi hajamboNipo mpwa. Jana nilivizia selfi yako kimya kimya usiku sikuipata. Natumaini uko poa mpwa.
Ulimkosea sana huyo dada hakua na Kosa aiseeMtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
Hahahah dah.! Labda inachapwa.Na sisi wanawake tunachapiwa?? Au inachapishwa, au inachapiana?
Hajambo mpwa...Nikopoa sana hofu kwako tu na mchumbaangu vipi hajambo
Duuh niwe mkweli nimechapiwa sanaaa sina idadi, japo si haba mbususo nazipata na sina maajabu sana, Nina stamina tu power Kali, lasting sana take longer 30-60mins, size kawaida tu 5... inches ila basi tu tuache hasira tuyaishi maisha Kwa raha tu, kila mtu na mnyonge wake tukubali hioAsante kwa jf humu tunaongea bila kujuana hata katika vitu ambavyo huwa hatupendi kuviweka wazi kama kuchapiwa maana ni aibu, humu hatujuani inakuwa rahisi kuweka mambo wazi...
Tukiachana na maumivu ambayo kila mtu huyapata ya kusalitiwa na mwenzako ukigundua amechapwa,
kuna vitu gani ulihisi baada ya kichapiwa ama fikra zipi zilikuingia kichwani kufikia mpaka kujifananisha na aliekuchapia?
baada ya kugundua umechapiwa ulichukua maamuzi yapi katika mahusiano yenu ?....
....................................................
kisa changu
Nakumbuka nikiwa na miaka 24 kwenye shughuli zangu za ufundi seremala, ofisi yangu ilikuwa nje ya nyumba ya binti flani anasoma chuo nilitokea kumpenda sana kwa tabia zake na uzuri wake, nilimgharamikia kutoka kwenye hela za dili zangu na nilimpa muda wangu mwingi, nilimjali sana kwakweli..
Siku ya siku nimeenda mitaa flani ghafla kwenye matundu ya fensi kwenye zile nondo namuona dem wangu kavaa t shirt zile oversize za kiume anafua nguo na kuna kidume pembeni kimekaa kwenye kiti kifua wazi wanaongea huku anafua,,,, nilipita haraka bila yeye kuniona
Nikaja kufatilia nikaenda kwa boda boda wa huo mtaa kuna moja nilimjua akanipa story nzima kwamba kuna jamaa ni fundi simu huwa anajipigia hapo, dah niliumia sana aisee,
nilimwita geto wala sikumsubirisha nikamchana live huo umalaya wake alibaki analia tu kwa aibu, tandika kofi tatu pale nikamtimua nje, usiku huo sikupata usingizi ilibidi nishushie nyagi.
Kesho yake pale ofisini kila akipita full kuchuniana aisee, kila akipita namkata jichi hilo acha tu, nahisi hakuipend hio hali maana baada ya wiki alihamia hostel.
Nilikuwa nawaza sana kwamba mimi nina mapungufu gani labda, nikaanza kujifananisha na jamaa labda ana mashine kubwa na stamina ya kwenda mwendo mrefu, hapa nilikuwa naumia sana kiukweli.
Ilinichukua kama wiki 2 hadi nijirudi.... dem yule alishaniomba msamaha mara 3 hivi lakini sikuweza kumsamehe mpaka leo.
Inatakiwa muendelezo hichi kisa chakoMtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
Karibu mpwa nawaandalia mbuziHajambo mpwa...
Tunakuja huko kwako soon.
Jiandae 😁🖐
Una moyo sana na kupigwa ulipigwa😂😂 ya kweli hayaAtar me nilipigwa dem niliyekuwa nampenda cha ajabu nilikuwa nimeganda sikusikia maumiv yoyote
Nimempangia sehem nikisepa home saa 7 jamaa anamvusha anaenda kula saa 11 anarudi
Nikaja mhanishia apartment mpya zina camera halaf ye bila aibu akawa anatoroka vile vile
Nikamnasa nilisamehe tu but moyo haukuuma sijui kwa sababu nilikuwa simuamin tangu tunaanza mahusiano maana alikuwa pisi sana so milikuwa najua siwez kula mwenyewe