Mbona zipo nyingi tu kwenye maduka ya wauza vitu vya computer mkuuBalbu za camera nazipataje zinafanyaje kazi mkuu
Bei gani na haziwezi julikana au zinafanana na hizi za kawaidaMbona zipo nyingi tu kwenye maduka ya wauza vitu vya computer mkuu
Halafu umaweka memory card unaiacha inaendelea kurekodi badae unaichomoa unaanza kuangalia kwenye pc au dvd player
UmetishaMm nilichapiwa nilipofaham nilimtafuta mkewake nikamchapa nikaandika barua ndefu yakusema kua nimemchapa mkeo nikamweleza alama alizozano mkwe nikamwambia nimemchapa marakadhaa nikamwambia vtu nilivomnunua harafu hiyo barua nikapaleka ofisin kwake
Nyie mnachapwaNa sisi wanawake tunachapiwa?? Au inachapishwa, au inachapiana?
Inauma sana ndomaana tunawapiga risasiWanatuonaga tuna mioyo wa chuma.
Tunawachora tu kumbe inauma eee [emoji28][emoji28]
HahahahZilikuwa ni hasira yani uwezi amini jamaa ndio alikuwa wa kwanza tukigombana na demu ananiambia usije kumuacha uyu mwanamke mara hoo uyu ni zaidi ya soul mate wako bahati aiji mara mbili kumbe mshenzi tu ananichora
Una unganisha kwenye simu unaweza ukaangalia ukiwa sehem yoyote tu.Balbu za camera nazipataje zinafanyaje kazi mkuu
Mtu mzima na akili zake. Mbususu ni yake. Akiamua kwenda kuchapwa huko mimi ni nani mpaka niumie? Acha achapwe huko apate na mayutiai pengine akili zitamkaa sawa ila kuumia sitaumia ng'o!
Na ni nadra sana kuwa na mwanamke wa peke yako hapa duniani. Kuchapiwa utachapiwa tu hata ufanyeje!
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
Ukibahatisha wa peke yako unashukuru Mungu ila kwa hali ya sasa hii mi naamini kuchapiwa hakuepukiki aisee. Na ukilitambua hili unapunguza stress za kukaa roho juu presha imekupanda eti unachapiwa wakati hata la kufanya huna maana kama mtu ni wa kuchapwa atachapwa tu hata ufanyeje. Nonsense!Comment BORA SO FAR...#Kuchapiwa hakuepukiki
Hizi lazima nitafute ila lazima zitakuwa dar tu sidhani mikoani kama zipoUna unganisha kwenye simu unaweza ukaangalia ukiwa sehem yoyote tu.
Aisee nimekukubali mwanawane. Hutaki ujinga. Dah huyo mrembo hamkumfumua rinda kweli🤔🤔🤔Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
Tupeanage tuu huo utamu...sii kwa ubaya jamani raha ya dunia ni kushare utam utam.Ukibahatisha wa peke yako unashukuru Mungu ila kwa hali ya sasa hii mi naamini kuchapiwa hakuepukiki aisee. Na ukilitambua hili unapunguza stress za kukaa roho juu presha imekupanda eti unachapiwa wakati hata la kufanya huna maana kama mtu ni wa kuchapwa atachapwa tu hata ufanyeje. Nonsense!
🤣🤣🤣 Jamaa alitaka uendelee kuhudumia huku yeye anakula kwa ulaini.Zilikuwa ni hasira yani uwezi amini jamaa ndio alikuwa wa kwanza tukigombana na demu ananiambia usije kumuacha uyu mwanamke mara hoo uyu ni zaidi ya soul mate wako bahati aiji mara mbili kumbe mshenzi tu ananichora
Unapiga pale inapouma most....jamaa kafanya poa sanaUlimkosea sana huyo dada hakua na Kosa aisee
Word.Na jamaa wakati anamchapia mkewe hakuona kama mshikaji wake (mwenye mke) pia Hana makosa mpka aamue kumchapia mke wake na ukizingatia jamaa ni rafiki yake!? sophy27
Kukazana na mtu ambae mko na mahusiano ya karibu iwe baba,mama,mke,mme,kaka,dada,(awe wa mjomba/shangazi) rafiki,jamaa,au ndugu yoyote anaemuhusu.
Aisee acha na usiruhusu hata kama umepewa ruhusa na mmoja wao
Kusipotokea ugomvi na makwazo ya kujirudia
itakuja dharau na ikiwezekana mahusiano ya ww na jamaa yko kufa kifo Cha mende.
Uhuru hautakuwepo tena,Kuna ka namna flani hv ya kitu kitakuwa kinakusuta.
Huwa nasema hv; Ukishindwa KUSAMEHE na kupuuza Ww LIPA KISASI Pale inapobidi
Tena kadiri vile upendavyo mpaka uisuuze nafsi yako
Achana kukaa na vinyongo kisa mtu Fulani ambae ww umeamua kumfanya awe sehemu ya furaha Yako.
Nyie ndio balaaYanii wabinafsi mnoo hawa viumbe!!